Nilikuwa na angalia taarifa ya habari jana "HABARI ZA AFRIKA MASHARIKI" Majaji Kenya walio tuma maombi ya kazi hiyo walikuwa wanafanyiwa usaili. Hivi ndivyo inavyo takiwa na Tanzania. Mungu atusaidie Katiba mpya mambo haya yabadilike. Hakuna watu wa tasinia ya sheria kuteuliwa.
[/COLOR]Mimi wewe sijakuelewa kabisa! Raisi alisema wana harakati waliwachochea Drs wagome ili wauwe watu. Wewe unasema wana harakati walisubiri Drs wagome ndipo wakaibuka na kusema. Wana harakati wangeibuka na kusema kabla ya madakitari kugoma na kisha hao Drs wakagoma Wangelaumiwa sana na...
(Texit with colr) EL hana maadili mema maana hata baada ya kujihuzuru hakutkiwa kujitete alitakiwa atulie hata kama wangemtangaza dunia nzima kuwa ni fisadi, sasa yeye kakosea kamuwasha mkuu wa kaya mbele ya wakuu wa magamba.
Samwel 6 alikosa maadili kwa kuruhusu maovu ya serikali ya magamba...
Bashiru namfahamu vizuri tumesoma naye Kilosa Agricutural secondary school, almaalufu "KIZUNGUZI" anajua kupanga hoja kweli ila tatizo lake 80% huwa hana msimamo na haeleweki, vinginevyo he is a goodman
Jamani someni mwanahalisi maneno aliyo sema ****** kuwa, hawezi kuacha kusaini huo mswada maana chama chake hakitamuelewa (EL kammaliza ). Lazima mtambue kuwa huyu jamaa hana tabia yakusoma vitu, kumbukeni kipindi anasaini sheria ya matumizi ya uchaguzi alisaini kwa mbwebwe kumbe wamemuingiza...
AFYA ya Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe, ni tete baada ya kuugua ugonjwa uliomsababisha kuvimba mwili wote.Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na yeye mwenyewe zinaeleza kuwa, alianza kuwashwa ngozi miezi mitatu iliyopita kabla ya hali kubadilika siku za karibuni na hatimaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.