Recent content by bobdizo

  1. bobdizo

    NEC: Kiti cha mbunge wa viti maalum Wanawake kwa tiketi ya CCM Sophia Mnyambi Simba, kiko wazi

    wabunge wa viti maalum hawateuliwi wanachaguliwa na wajumbe wa Mkutano mkuu mkoa UWT..
  2. bobdizo

    Unakumbuka kitabu cha Mandawa na Manenge?

    binafsi nakumbuka mbali sana
  3. bobdizo

    Nauza playstation 3 bei nafuu

    kigamboni
  4. bobdizo

    Nauza playstation 3 bei nafuu

    kigamboni
  5. bobdizo

    Nauza playstation 3 bei nafuu

    pia ina uwezo wa gb 500
  6. bobdizo

    Nauza playstation 3 bei nafuu

    Nauza playstation 3 kwa bei poa sana ya laki3 tu iko poa imetoka uk.. inakubali na cd za cppy pia.. tuwasiliane kwa namba 0777871199
  7. bobdizo

    Waziri Mwigulu Nchemba ndani ya Star Tv

    haya bana!
  8. bobdizo

    Pikipiki ya ajabu yaonekana Temeke

    mbona sijaelewa mmeniacha kidogo.. sasa inajiendesha yenyewe au?? ajabu yake ni nini haswa bado hamjaniweka sawa
  9. bobdizo

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Miezi kumi akiwa madarakani na vitu kumi ambavyo Rais Magufuli amevifanya; 1.Kanunua ndege 2 mpya za Air Tanzania (nyingine 2 boeing zinakuja) 2. Katoa elimu bure 3.Kakusanya kodi kwa kiwango kikubwa. 4.Kaanzisha mahakama maalumu ya kushugulikia mafisadi. 5.Kaboresha huduma za afya (CT-SCAN...
  10. bobdizo

    Tenco w3 4g inauzwa

    nauza tecno w3 lte mpyaaaa kwa laki na 80 tu.. 0713871199
  11. bobdizo

    Nimegundua kumwazimisha mtu gari ni hatari, nimekoma

    dah pole sana binaadam ndivyo tulivyo
  12. bobdizo

    Hivi unakumbuka nini ukiona picha hii??

    nimeamini maneno ya mchangiaji mmoja kuwa ile tape ypande mmoja ilkuwa una speed na ule mwengine inakuwa slo.. angalia video hii ndio utaamini na utazidi kukumbuka mbali
Back
Top Bottom