Waziri Mwigulu Nchemba ndani ya Star Tv

Waziri Mwigulu Nchemba ndani ya Star Tv

Joined
Feb 7, 2012
Posts
89
Reaction score
24
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba atakuwa live katika kituo cha Star Tv kwenye kipindi cha tuongee asubuhi dakika chache zijazo.

Usikose kufuatilia
 
Dah breaking news za siku hizi.....nonsense.Mnashusha daraja JF.
 
King'amuzi nishatupa kule toka local channel zilipiwe
 
Nesi ajitokeze kudai fidia kwa Mh. waziri kwa kunufaika na jina lake kwa miaka mingi. Wanasheria msaidieni huyu nesi apate fidia CC Tundu Lissu.
 
Ile sindano ya vyeti inabidi nikajishafishe


swissme
 

Attachments

  • 1477024047684.jpg
    1477024047684.jpg
    27 KB · Views: 47
Back
Top Bottom