Recent content by BobChupa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani wamuwakia Lissu, kwenda DW kutoa ufafanuzi wao

    Habarini wanajamvi .... Kimsingi nimekuja na Jiwe moja hivi la Msemaji wa Serikali kuhusu taarifa zilizotolewa na Ubalozi nchini Ujerumani kuhusiana na swala la Tundu Lissu kubwabwaja Ujerumani. Mnaonaje hii ishu??????????
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Tundu Lissu afanya mahojiano na kituo cha utangazaji Deutsche Welle(DW)

    Tundu Lissu acha Uongo!!!! Mzee kwa kamba Haujamboooooooooooooooooooooo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP kununua mahindi ya Tanzania

    Huchelewi kusikia sasa hv eti kuna wafanya biashara wamejitokeza kwa ajili ya kununua mahindi .... na walanguzi kutokea kwenda kununua kwa wananchi ili wawauzie serikali ndio maana Raisi ameweka jeshi kwenye korosho..!!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Chadema!,hii ni provocative politics ,tunawaona!

    Naunga mkono Hoja -- By BobChupa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tahadhari juu ya wizi wa dawa za wagonjwa kwenye madirisha ya kuchukulia dawa hospitalini

    Ndugu yangu taarifa ndio hizo nlizozipata kama unataarifa usisite kuzisema
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tahadhari juu ya wizi wa dawa za wagonjwa kwenye madirisha ya kuchukulia dawa hospitalini

    TAHADHARI!TAHADHARI! WIZI WA DAWA Ndugu wananchi, kumekuwapo na wizi mkubwa wa dawa za wagonjwa katika madirisha ya kuchukuliwa dawa hospitalini, wizi huu unafanywa na watoa dawa hasa kwa wagonjwa wanaotumia bima za afya, watoa dawa hawa huwa hawawapatii wagonjwa dawa zote ambazo anakuwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    SASA KAMA MTU HUFATI SHERIA UTALALAMIKA SIKU ZOTE UNAONEWA ....
  8. B

    JamiiForums Tanzania Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu

    MONEY LAUNDERS WENGI WAMEKUWA WAKITUMIA MADUKA YA KUBADILISHA FEDHA KUTAKATISHA PESA ZAO NA WABADILISHAJI FEDHA WENGI HAWAFATI SHERIA KWA MFANO KUSCAN PASSPORT KWA KIASI KIKUBWA CHA PESA KUBADILISHA NA KADHALIKA SO SISHANGAI TATIZO SHERIA ZIKISIMAMIWA WATU WANAKUJA JUU NCHI GANI INAYOENDA BILA...
  9. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waita wanachama nchi nzima tarehe 6 Desemba, 2018

    Sasa Ngalanga, kuita wanachama wote the first impression nilitegemea iwe mlimani city labda kuna agenda za mwaka mzima na mpango mkakati wa mwaka ujao, kweli katibu anasema wanachama wote waje mahakamani, aisee kimsingi imenisikitisha sana!!!!!!
  10. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waita wanachama nchi nzima tarehe 6 Desemba, 2018

    Acheni mambo ya ajabu .... eti kuita wanachama wote mahakamani.... sasa si unakaribisha machafuko kwenye muhimili wa nchi???? wazo huru!!!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Aggrey Mwanri ni Mkuu wa Mkoa mwenye 'data' kuhusu mkoa wake wa Tabora

    Kimiujiza miujiza utashangaa Tabora inatobooaaaa!!!!!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Aggrey Mwanri ni Mkuu wa Mkoa mwenye 'data' kuhusu mkoa wake wa Tabora

    Mzee wa Jumla Jumla
  13. B

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Kingereza chako ndugu sijakielewa
  14. B

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Endeleeni Kubweka sasa (JIWE JUU YA JIWE) DODOMA HAPA KAZI TU!
Back
Top Bottom