Recent content by Bob Nash

  1. B

    JamiiForums Tanzania Canter au Isuzu inahitajika

    Gari iko tabata unaweza kuja iona, 0786914111, mawasiliano.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Canter au Isuzu inahitajika

    17m tu Mlachake
  3. B

    JamiiForums Tanzania Canter au Isuzu inahitajika

    inahitaji overhaul, au kiuhakika zaidi uweke ya fuso.
  4. B

    JamiiForums Tanzania BOT wameniita kwenye aptitude

    Aya ngoja tusubirie na wengine waje wahakiki
  5. B

    JamiiForums Tanzania Canter au Isuzu inahitajika

    Kwa 15m ndugu yangu huyo mtu hajui magari vizuri, huwezi pata, labda tani moja nusu jamaa ameiongelea hapo, mi ninayo isuzu elf tani nne, ila ina shida engine, iko vizuri kabisa, 17m nakupa kiroho safi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Isuzu truck for sale

    Nauza truck yangu ina shida na engine, kwa bei rahisi tu 17m, 0786-914111, 0755-914111
  7. B

    JamiiForums Tanzania DAIHATSU 900cc FOR SALE

    Bei 5.8m tuu, 0786-914111, 0755-914111
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa matlab

    Nataka toa kazi kwa malipo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa matlab

    wakuu nna kazi yangu ya matlab nahitaji mtaalamu wa hio kitu. wasiliana nami kupitia 0654-633109
  10. B

    JamiiForums Tanzania mtaalamu wa matlab

    wakuu nna kazi yangu ya matlab nahitaji mtaalamu wa hio kitu. wasiliana nami kupitia 0654-633109
  11. B

    JamiiForums Tanzania Equipments for hire

    Wakuu habarini, nna equipments mbili for hire, a motor grader caterpillar 140g na excavator hyundai, zote ni mpya kabisa. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia 0755914111
  12. B

  13. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji toyota cami haraka

    wakuu, nimepata vi-diem vya christmas milioni saba, nahitaji toyota cami kwa yeyote anayeuza, iwe kwenye hali nzuri tuu, naihitaji haraka pesa isije ikapata mahitaji mengine, mwenye nayo anicheki , cash hapohapo nikipenda gari, mawasiliano ni 0654-633109
  14. B

    JamiiForums Tanzania Adaptor ( charger ya fujistu siemens laptop ) inahitajika

    Wakuu yeyote aliye na hio chaja anitext kwenye hio namba, ya kwangu nimeimiss place, shukrani, 0654633109
  15. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta TOYOTA Premio

    Nnayo mpya kabisa, ina motor vehicle, insurance, kilometer haijazidi 70,000 na sio D.4 ofcoz, bei 9m, kama vipi nipm tuongee business
Back
Top Bottom