Natafuta TOYOTA Premio

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
4,810
6,644
Kwa anayeuza Toyota Premio 1800cc, iliyo katika hali nzuri.Bei isizidi 7M.
 
Nnayo mpya kabisa, ina motor vehicle, insurance, kilometer haijazidi 70,000 na sio D.4 ofcoz, bei 9m, kama vipi nipm tuongee business
 
Dah Hata Mie Nahitaji iwe Fresh kabisa na ya Mwaka 2004 vizuri iwe haijatumika.. I mean haiachiwa Mababuri ya kibongo Offer yangu hadi kumi na mbili nitatoa
 
Sasa kama una kumi na mbili si uende showroom kabisa kuna haja tena ya kutangaza hapa!

Dah Hata Mie Nahitaji iwe Fresh kabisa na ya Mwaka 2004 vizuri iwe haijatumika.. I mean haiachiwa Mababuri ya kibongo Offer yangu hadi kumi na mbili nitatoa
 
Kwa anayeuza Toyota Premio 1800cc, iliyo katika hali nzuri.Bei isizidi 7M.

mkuu zinapatikana lakini zipo zanzibar mpya hazijatembea hapa tz, bei 9.5m nikikuletea mpaka hapa full duty paid with number plates! Ni pm kama uko-interested weka na specification zako
 
Ni vizuri kama unajibu basi hata ungemkote mtu unayemjibu, hebu angalia mtu amesema anataka premio isizidi 7ml muanzisha thread. Baadae amekuja raiswapemba amekata ofa yake humu ndani hivyo imekuwa biashara juu ya bishara. Hivyo ni sawa kabisa mtu kuweka angalizo hilo. Halafu jamaa anasema anataka bei isizidi 7m lakini wote wameshuti mpaka 12ml, ok hilo halina shida mimi tu nampa ushauri mtoa mada kama ifuatavyo; 1. Kwa bei aliyonayo ategemee premio ya mwaka 1996 - 2000 tena apate bahati muuzaji awe ameitunza. Angalizo, epuka engine ya D4 haifai hata kwa dawa na wala usilaghaiwe na watu kuwa ni mtazamo hasi tu juu ya engine hiyo lakini ni nzuri utajikuta unaingia choo tofauti na jinsia yako. 2.Kama unaweza premio new model ikiwa ni VVTi technology hata kama ni 2000cc chukua haina shida katika ulaji wa mafuta. 3. Mwisho weka wazi kama unataka AT au MT ili watu wakiingia shambani wanakuja na majibu yanayolingana lingana na maombj yako. Kila la kheri katika safari yako ya kutembea huku umekaa.
Kwa nini??
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom