Suka dread locks, ongea ongea vingereza vingi, nenda kahangout sehemu zenye watasha kamata wakwako mmoja mpe tour around the town/city you are in halafu kaa kitaalam tu uje na idea yako ya tour company umueleze utakua umemaliza hiyo manenoz haina haja aya kukaa na kuandika proporsal mkuu...
Hii michezo ilikuwepo miaka mingi kabla hajaja aisee wacheni uongo, lakilaki pale kila j2 kinawashwa, kipindi hiyo ya kina baba dee na mbung'o kwani makonda alikuwepo aisee hii mambo ipo zamani mpaka kina pea wameshastaafu sasa mnasema makonda aisee
Swali rahisi sana hili, sisi wachaga tunajenga vijijini kwetu, nenda machame, marangu, rombo ushangae mwenyewe. Hapo mjini tumewaachia mtuone maskini, lakini maendeleo makubwa tumeyafanya vijijini kwetu humo. Ukifika lazima ushangae. Hapo mjini tunakujaga kuzuga tu ndio maana tumepaacha hivyo na...
Unaonekana unapanda ndege sana lakini bado unachukulia kwamba ndege ni kitu cha tofauti sana mkuu, kusubiriwa ni kawaida inategemea tu huyo aliesubiriwa ni nani 15 min mbna ni dakika chache sana mkuu mpaka umeandika uzi wote huu na historia ndeefuuu, shusha sukari kidogo na uache kuchafua...
Wewe tulia na mke wako wacha kuhangaika mzee, maisha hayataki mbwembwe ......... siunaona unavyoteseka sasa kuja kutuletea uzi wa umbea wa kugombana na mchepuko wako, hii ni kwasababu huwezi hata waeleza washkaji wakakuelewa. Chamsingi we tulia tu na mama na utapata baraka mingi balaa
Wewe kaa usubiri ifike miaka kumi na mbili halafu ujitwalie, akija unamuambia kua ni yakwako kwasababu muda wote huo hakujitokeza, under adverse possesion unaweza kuimiliki kama miaka kumi na mbili imepita na umekua ukiishi hapo bila ya mwenye eneo kuja kulidai.
Wamevamia polisi ni haki ya polisi kuwashughulikia, unadhani wangeingia ndani ya kituo na kuchukua silaha za moto si ingekua vita. Mimi nawatetea ndugu zangu askari polisi wamejilinda kwa weledi na kuhakikisha kituo hakiingiliwi na sila haziibiwi.
Wacha uoga matola, mm naona umeandika hapo DR na PHD nkajua unajua aisee kumbe hamna kitu. picha za mtu anaepiga na magari hivyo ndio inamaanisha anatoa kafara ?? wengine nimadalali aisee kila akiamka andinga mpya anaizungusha anataftia mteja wewe utakaa hapo na umaskini wako na kuwaza wenzio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.