Rais hata kutoa hotuba hajui atawakilisha nini medani za kimataifa , au ndio elimu elimu elimu, hata kuzunguka kuona anao ongea nao hawezi ,kaaaaaaazi kweli kweli # Hapa Kazi Tu
Naona shughuli za uchumi zimeandikwa takribani 45% watu wanazungumzia siasa Je tutafika? Vipi matumaini tunayojipa iwapo tutafeli nini kitatokea? Tafakari iwapo Lowasa ataingia ikulu ama hatofanikiwa nini kitatokea , Wapi nafasi ya Rais mstaafu Iwapo inchi ataiweka mikono I mwa wapinzani? Tafakari
Tunashukuru kaka japo watz ni wazito kuelewa lkn zidisheni kutoa elimu ipo Siku wataelewa na wataongeza pato la ndani , hao ni ma bingwa wa kulalamikia mi undo mbinu lkn hawataki kuchangia pato la ndani lkn kwa Kuwa sio Siri Kwenda kwenye hifadhi basi hata gharama ni vema zikawa wazi coz si...
Mkuu tumekusikia tukifanikiwa tutakujuza usijali sote tu wahanga na janga la mikopo, more stress upon us, mungu awabaliki nyote mlioomba mkopo.kama ni mmoja wa wenye kusubili Sema Ameen, your Ameen is very powerfull to our creator.
Nadhani hapo ndipo alipopataka, Kazi kwake GPA haipatikani kwa kushauriwa tu , Bali ukipata ushauri ufanye kwa vitendo , out of that ni karai mwanzo mwisho, mbili na wewe wewe na mbili ,tafakari na chukua hatua
Je kwa wale waliomaliza miaka ya nyuma kabla Sheria hii kupitishwa ya matokeo na division zao watabadilishiwa au inchi moja na aina ya vyeti na ufaulu tofauti? Mfano mwaka 2000 nilipata division three ya point 23' kupitia mabadiliko natakiwa nisomeke dision two Je hili wadau litakuwaje hapo?
Inchi hii haijali hazina ya watu , inadhani kuwepo kwao ni kero kwa maslahi Yao ni mda gani kupata level na uzoefu wake akitoweka ghafla? Tuwatunze hazina hizi ni muhimu kwa faida ya kizazi kijacho na kilichopo .Mungu akupe unafuu upone haraka pole Dk tupo pamoja nawe.
Hamjampa jibu la yakini, mpeni sifa au kutokuwa na sifa kwa chuo cha kiu, mdau kasome kwa ngazi ya Degree nenda kiu au tafuta prospectors yake uone courses zao, kwa ngazi ya Degree Kama si bora TCU wasingepeleka watanzania pale, msikulupuke kutoa hoja za kukatisha tamaa,st degree hata taasisi ya...
Ni makosa kujadili chama kingine wakati mkosaji na wakosoaji wapo CHADEMA ,hivi mpaka anapata nafasi ya juu kiasi hicho hakujulikana Kama ni msaliti au ndio kuongeza makundi ndani ya chama? Tu naelekea pabaya kwa uoni wangu atatughalimu huyu jamaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.