Recent content by Boaziwaya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Sikuliona hili kwa waliokuwa Marais wote wa Zanzibar, kwanini linafanyika sasa kwa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi?

    kipya kinyemi kibaya cha zamani, tatizo unatumia elimu ya sekondari tu ,ya msingi imekutoka nini??
  2. B

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa kina nilioufanya kuhusiana na thread nyingi zinazoanzishwa humu JF

    kwahiyo na.wewe.ndio umeona utukane kunako.page ya kwanza kabla ya yasita??, nani watoto?? acha upuuzi
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

    nini mnavyomwaga zege?? utakuwa uchizi huo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali

    kuna.mzigo chini umefichwa la sivyo kamba zingepenya kwenye mchanga hadi chini
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya Sekondari ya Serikali. Waliobahatika walijulikana kata nzima. Je, wewe ni mmoja wao?

    shida tupu, shule zilikuwa chache mno hivyo ili uchaguliwe yakupasa ufanye vizuri kweli, tena hususana masomo mazuri kama hisabati na sayansi kwa ujumla wake, ni mazuri na ni matamu ,sio magumu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zamani wa Burundi Hayati Piere Buyoya kuzikwa nchini Mali

    umeyajuaje yote hayo ? Ulishawahi kufa wewe??
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya Sekondari ya Serikali. Waliobahatika walijulikana kata nzima. Je, wewe ni mmoja wao?

    2003 nipo chuo dogo ,Arusha sec ya headmaster Don king, ilboru nilipafaidi A level kipindi hicho Arusha sec hamna Advance
  8. B

    JamiiForums Tanzania Watu na nchi yao

    kuna kushoto na kulia, kuna kingi na kidogo hapo, kuna mengi hapo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya Sekondari ya Serikali. Waliobahatika walijulikana kata nzima. Je, wewe ni mmoja wao?

    tulitoka Burka primary school tukaenda Arusha secondary school, tulikuwa saba tu kati ya watoto mia tatu ila tulivyunja rekodi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yataka majibu ya corona ndani ya saa 24

    nadhani.ndivyo, la.sivyo hapangetoka mtu hapa, wewe unaonaje??
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu ana taarifa ya kilichotokea Nashville Marekani?

    wewe kiboko, unaweza kuingia jf hata kama unaota ndoto, ukiamka uje upost ukweli
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nimelitathimini jengo la Makao Makuu ya CHADEMA pale Ufipa na nimeridhika chama hicho hakijali Maendeleo ya Vitu

    mambo.ni taiti hadi.kupumua ni shida, ,,tajapumuliwa sasa, hakuna kurogwa kiboyaboya
  13. B

    JamiiForums Tanzania TANAPA: Picha ya Ol Doinyo Lengai, ni moja ya picha 15 bora za Kimataifa 2020

    kwa mara ya kwanza leo ndio.nimekuona mzalendo ,nilikuwa nakuona.mzaa.ndoo tu, #ni YEYE
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasayansi Mkuu wa Nyuklia Iran auawa

    atakuwa mjomba wako unaomba michango ya rambirambi kiaina, ila pole
  15. B

    JamiiForums Tanzania Iran ni ya 14 duniani kijeshi Israel ni ya 18 nguvu ya kijeshi ya Iran yazidi kuongezeka

    hizi takwimu zimekaa kifedha zaidi na.si.ubora.wa.upambanaji , haiwezekani mtengeneza silaha akashindwa na mnunuzi hilo likukae kichwani
Back
Top Bottom