Recent content by boazies

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mamna ya kuapply CTL katika Institute of Judicial Administration- Lushoto

    Vipi kwa mwaka huwa kuna intake ngapi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mamna ya kuapply CTL katika Institute of Judicial Administration- Lushoto

    Wakuu nataka nikasome law ngazi ya cheti IJA. Nmeangalia kwenye website yao Hakuna taarifa zinazodirect namna ya kufanya application. Kwa anayefaham naomba anisaidie utaratibu ukoje na Kama wanayo intake ya mwezi March. Ahsanteni.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sheria ya mirathi inasemeje?

    Principle inasema A non Muslim cannot inherit from a Muslim na vice Versa is true
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tender ya kusuply mkaa

    Mkuu niko mbagala unaweza kuwa unaniuzia kwa bei ya jumla mi nikaja kuuza rejareja huku?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kisheria; je tukiamua tukate rufaa na yeye akienda mahakaman hatima yake ni nini?

    Je ni kweli cheti mmekpata Kwa kughushi?
Back
Top Bottom