Recent content by bndali

  1. bndali

    Magufuli: Wachumi wetu hawafikirii, wanawaza kupandisha jina langu la pombe tu

    Siasa hizi zitatuua Tanzania. Haya yote yako ndani ya uwezo wako mkuu. wewe ndio dereva... Sisi abiria hatutaki ngonjera, tumekupa miaka mitano hivyo huna haja ya kutupa maneno mazuri kama bado tuko kwenye kampeni. Tunataka kuona vitendo tu. Mzee kodi utazipata tu ila si unajua kodi inalipwa...
  2. bndali

    Machali: Watu kama Tundu Lissu, Magufuli angeamuru wachapwe bakora

    Huyu mwenzangu njaa itamuua. Unajua ukiingia kwenye siasa na kubahatisha kupata cheo kikubwa kuliko uwezo wako, wakati huo huo ukashindwa kufikiria 'exit route' by the time uko madarakani mwisho wake ni kutia aibu tu kama huyu port wangu. Jamaa ana njaa balaa nyie acheni tu... kachoka kachoka...
  3. bndali

    CCM Wateua Makatibu Wakuu wa Mikoa na Wilaya; Kinana hajarudi. Makonda atajwa...

    Waislamu 13 tu kati ya hao 31... 17 woote ni wakristu.... Duuh kweli CCM tumeingiliwa na ubaguzi awamu hii. Mpaka miaka hii, nchi itakuwa imejaa wateule wakristu watupu tu
  4. bndali

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Lumumbaaaa, kweli mnalikumbatia furushi la mavi?! Hakika mtanuka zaidi
  5. bndali

    Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

    kaonekana kurasini leo jioni majira ya saa 2:30 usiku, akiwa mpole kama kondoo
  6. bndali

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Mtu anayetumia cheti cha mtu mwingine awe hai au amekufa anatenda kosa la kughushi nyaraka kwa mujibu wa Kifungu cha 371 cha Kanuni ya Adhabu [Sura ya 16 Toleo la 2002] ya sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na adhabu yake ni kifungo cha miaka saba (7) jela bila faini kwa mujibu wa...
  7. bndali

    CHADEMA wamdhalilisha Wema Sepetu

    Pilipili iko shamba, wewe yakuwashia nini? Kwa Taarifa yako Boniface Jacob ni kiongozi wa kitaifa kama mjumbe wa kamati kuu. Pia ni mwenyekiti wa chama mkoa wa Kinondoni. Pole sana
  8. bndali

    Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

    Nawaomba tuwasadie NECTA jamani, kama kuna mtu anatumia cheti cha mtu mwingine kwa mujibu wa tangazo
  9. bndali

    Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Mbowe sio mtu wa kujificha, acha upotoshaji
  10. bndali

    Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Hajawahi kuhudhuria vikao vya manispaa ya Temeke tangu mwezi wa 4, 2016, vikao vya kamati na mabaraza. Anatakiwa ajiuzuru ili tumpate diwani mwingine, ambaye anaipenda kata yake, Diwani ambaye anawapenda wananchi wake.
  11. bndali

    Bulaya: Makonda amenipigia simu na kudai wabunge sio chochote kwake, yupo karibu na bwana mkubwa

    Aliyotumwa na nani? Kwa mujibu wa sheria ipi? Maana kwenye tume ya kudhibiti uuzaji, usafirishaji na utumiaji mbovu wa madawa ya kulevya, kwa mujibu wa sheria mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam hajatajwa
Back
Top Bottom