A see we jamaa ni Hatar sana yaan naungana na wewe 100%.hii ni vita kwel kwel.wakifanikiwa kutubadilshia mada tumekwisha naomba watanzania tuungane kwa pamaja kwenye vta hii kali
Sent using Jamii Forums mobile app
alyewambia lowasa ni mpinzan nan? yeye katumwa kuwatulza wapinzan maana wapinzan hawajielewi kaz yao ni kudandia mada tu
Sent using Jamii Forums mobile app
tushawazoeya hawana ubunifu wa mijadala kaz yao ni kudandia wanavyockia na kupnga kla k2. siasa hzo znaisabka mwisho wake
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.