Recent content by BMW1200GS

  1. BMW1200GS

    Katika dunia nzima ni Tanzania tu kuna mwenge, hivi ni wa nini?

    Unapunguza pesa ya walipa kodi ndugu! Kwani wee huoni?!
  2. BMW1200GS

    Katika dunia nzima ni Tanzania tu kuna mwenge, hivi ni wa nini?

    Sasa Bujibuji unamaana gani nduguyangu?! Tafsiri basi
  3. BMW1200GS

    Katika dunia nzima ni Tanzania tu kuna mwenge, hivi ni wa nini?

    Kama kichwa kinavyojieleza, Nimetafakari saana hata Rais aliyepo aliapa akichaguliwa atashughulika na mwenge ila tulipomchagua akastopisha sherehe za muungano watu wakafanya usafi na hela akapeleka kwenye maendeleo. ila ilipofika kwenye mwenge watu wakapiga kelele lakini hakustopisha na huku...
  4. BMW1200GS

    Wanamazingaombwe kina Profesa Singira, Muhindi Mchafu etc

    Mwingine alikuwa akiitwa kababayeee,, alikuwa akisema,”” kababaa yeee,, tunasema yeee,, au anaimba,,” kababaa nisogee sogee,,tunajibu “” Songea “”” hahahah ilikuwa raha sana,,, na masiya moteee semaaaaaa,,,tunaitikia “”” masiya moteeeee ‘’ day!! Natamani kurudia yale maisha,, hela ilikuwa na...
  5. BMW1200GS

    Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

    na huyu wa zamani anaimba ndombolo ya Yesu hahahaha wapo wengi tu
  6. BMW1200GS

    Unanishaurije kusafiri peke yangu safari ya km 1000

    Angalia gharama za mafuta za kwenda na kurudi kisha piga gharama za nauli ya ndege kwenda na kurudi,jumlisha ukiendesha uchovu na service ya gari kabla hujaanza safari,, mfano kwenda Mwanza na LANDCRUISER Vx Diesel engine ni laki 3 mafuta kwenda tu na ni masaa karibia 13 njiani na ni km 1100...
  7. BMW1200GS

    Sijawahi kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ' Kumroga ' Mtu ila huyu ' Mtu ' alivyonikera simuachi!

    Basi mkuu,,shaka ondoa,, nimefurahi mno mno,, ngoja nianze na wa tra yule dada mkuu na kama anakufahamu basi atakwambia mimi ni nani mkuu ili usiwe na wasiwasi,, yaani nimefurahi saaana,, kupotezana na watu miaka karibu ishirini si mchezo halafu kuja kuonana nao dah!!ni furaha ilioje...
  8. BMW1200GS

    Sijawahi kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ' Kumroga ' Mtu ila huyu ' Mtu ' alivyonikera simuachi!

    Unamkumbuka Chagula?! Mtoto wa mwalimu mkuu kavuye?! Dah! Natamani ningekuwa na namba zako nikupigie,,yaani nimefurahi saaana saaana,, nimeingia humu kwaajili yako na ni kweli nimekufuatilia miaka mingi mno mpaka nilipojiridhisha kuwa yamkini umesoma shighatini ndio nikasema nikuulize huenda mna...
  9. BMW1200GS

    Sijawahi kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ' Kumroga ' Mtu ila huyu ' Mtu ' alivyonikera simuachi!

    Ayayayaaaaaaaa!!! Aiseee,,woote uliowataja nawafahamu na mwaka uliokuja na kuondoka nilikuwepo aisee yaani dah!!peter mweta tuliwahi onana miaka ya nyuma na hata yule demu wake Vicky kama unamkumbuka nilishakutana naye pia arusha na deo nae nilikutana nae dar na sele! Dah yaani umenikumbusha...
  10. BMW1200GS

    Sijawahi kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ' Kumroga ' Mtu ila huyu ' Mtu ' alivyonikera simuachi!

    Mkuu za leo,,kwanza sikushauri uende kwa mganga sababu adui lazima awepo ili akupe changamoto ya kupambana zaidi ili uweze kufikia malengo yako katika maisha,, hivyo wee mwombee aweze kuishi miaka mingi aje kuona ushindi wako kwenye maisha,,maana huyo anatumiwa tu kukuvusha kukupeleka kwenye...
  11. BMW1200GS

    Marekani: Rais Mstaafu, George Bush Sr. yuko ICU ikiwa ni siku chache baada ya kumpoteza mkewe

    Mkuu naomba niende nje ya mada,,nimejiunga jana tu baada ya kuona unataja watu tuliosoma nao shighatini,, wapo wapi hao kina fatuma,, mzaba,,steve,, Mwita,,na wengine?! Nimejaribu kukutumia msg private imegoma ndio maana nikaona nikuombe huku,,Nashukuru mkuu
  12. BMW1200GS

    Natafuta mbwa aina ya German shepherd

    Mbona ghali
Back
Top Bottom