Mkuu mimi kwetu ni kwihara street karibu na duka la ushirika enzi hizo, kuna mzee mmoja anaitwa selemani mzee na zaidin mzee, au mwingine kwa marehemu musa kiombo pale makaburi ya baniani nimecheza sana ila nakumbuka kuna kijana mmoja anaitwa kurukutu aliwahi kunifanyia mchezo mbaya sasa miaka...
Namkumbuka mzee masoli alikuwa na msichana potable anaitwa mombe...duh mwingine alikuwa anaitwa farida masoli nadhani ni mtangazaji kwa sasa.....pale cheyo kwenye kota za nyuzi kulikuwa kuna kama nyumba nyingi ziko kwenye fensi ina msitu sikumbuki zilikuwa ni za shirika gani karibu na shule ya...
Umenikumbusha mwalimu chiboni ndiye aliyenifundisha English, unaikumbuka ile sala...Our father? Jotter je? mwalimu chiboni ni marehemu, getaback nadhani alirudi kwao ni muiraq wa kule arusha....mwalimu nachenga alikuwa mnoko je unamkumbuka mwalimu balozi na msha? Mwalimu fundi alikuwa mtaalam wa...
Askofu mkuu Mario Abdallah Mgulunde alikuwa ananigusa sana hata niliposikia amefariki nilitoa machozi, alikuwa akihutubia misa ya krismas anaongea kwa saa moja na nusu.... alikuwa ni lawyer by profession ameandika vitabu vingi...RIP Dr. Mgulunde.
Pia nimekumbuka sinema za kihindi za ma staa wa bolywood...kina mitun chakrabot na amitah bachani zilikuwa zinaonyeshwa...kuna nyimbo maarufu za kihindi kama KUCH KUCH na PAPANJAI...very nostalgic indeed
Mkuu umenikumbusha mbali sana...mwehu maarufu enzi zile alikuwa anaitwa malingumu mzee mmoja kichaa alikuwa soko kuu, mimi nilizaliwa ng'ambo mtaa maarufu unaitwa kwihara street, baba yangu alikuwa ana shamba kijiji cha usenge karibu na jumba la makumbusho(livingstone)...pale kwihara kulikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.