Recent content by Blue_001

  1. Blue_001

    Kwa matokeo haya naweza kupata diploma ya clinical medicine?

    Kwa matokeo haya form 4_2015 Naweza pata diploma ya clinical medicine,,,, kibaha? au lugalo? Phy_C Chem_B Bios_B Math_A Englsh_B
  2. Blue_001

    Msaada Tafadhari

    Amepata 3 ya 17 form six phy_F bios_E Chem–E Bam-E lakini o-level ana Bios-B Chem-B Phys-C Maths-A English-B je anaweza pata diploma kwa chuo au collage yoyote? Na kozi ipi? Kwa chuo kipi ? msaada Tafadhari
  3. Blue_001

    Rafiki Wa Kweli

    asante mkuu,,,
  4. Blue_001

    Good Morning Everyone.

    morning too,,,
  5. Blue_001

    Rafiki Wa Kweli

    ndugu wana jf ni muda sasa tangu nimeungana na jumuiya hii ya jf,,,nimeamua kuandik thread hii kwa lengo la kutafuta marafiki wa kweli kama kichwa cha habari kinavyojieleza,,,, Nina umri wa miaka 22,,(male/mvulana),,napenda music,,sipendi marafik wanafik,,,nahitaj rafik tutakae badilishan nae...
  6. Blue_001

    Tuliowahi kuagizwa Mzazi shuleni tukaleta wazazi feki tukutane hapa.

    nakumbuka niwewahi kuagizwa mzazi nikampanga boda boda awe kama mzazi wangu tukakubaliana kiasi cha kulipana lakini nilikuwa nmechanganyikiwa kwa hofu ya kuwaogopa wazazi wangu kama wakijua kuwa nimesimamishwa masomo cha ajabu na uzuzu wangu sikuweza kukumbuka kumwambia jina langu nae hakuweza...
  7. Blue_001

    Tuliowahi kuagizwa Mzazi shuleni tukaleta wazazi feki tukutane hapa.

    Nakumbuka niwewahi kuagizwa mzazi nikampanga boda boda awe kama mzazi wangu tukakubaliana kiasi cha kulipana lakini nilikuwa nmechanganyikiwa kwa hofu ya kuwaogopa wazazi wangu kama wakijua kuwa nimesimamishwa masomo cha ajabu na uzuzu wangu sikuweza kukumbuka kumwambia jina langu nae hakuweza...
  8. Blue_001

    helo

    karbu jckie huru
  9. Blue_001

    HELLOO

    karbu mkuu
Back
Top Bottom