Recent content by Blue14

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nchi gani Ulaya zinafaa kwa wahamiaji wa kudumu

    MAMBO VP WAKUU! Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Binafsi nina ndoto za kuishi nchi za ulaya siku za mbeleni, kwa sababu mbalimbali ninazozifikiria, hivyo nimeandika thread hii ili nipate japo dondoo za nchi mbalimbali za majuu ambazo ni rafiki kwa uhamiaji wa kudumu, hasa kwa watu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya mama yameacha kutoka ghafla

    Sawa mkuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya mama yameacha kutoka ghafla

    Asante mkuu Nauzingatia
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya mama yameacha kutoka ghafla

    Hahahah p1 sana
  5. B

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya mama yameacha kutoka ghafla

    Asante sana mkuu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya mama yameacha kutoka ghafla

    Habari za muda huu wakuu! Nimekuja hapa jukwaani kuna changamoto moja nahitaji msaada kutoka kwenu Ipo hivi nina mke wangu ana mtoto wa miezi tisa, anayenyonya sasa leo kuanzia asubuhi maziwa yamekata ghafla kiasi cha kupelekea mtoto kushindwa kunyonya, Sasa nimeleta jambo hili kwenu kwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Club gani ya usiku hapa dar ambayo inafaa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka?

    saw saw mkuu vp naweza kupata sifa zake
  8. B

    JamiiForums Tanzania Club gani ya usiku hapa dar ambayo inafaa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka?

    Habari wakuu! Kama tunavyojua kuwa tupo mwishoni kukamilisha hesabu za kumaliza mwaka 2024, Kutokana na hilo naomba kufahamishwa maeneo ya starehe hasa club za usiku ambazo zimesheheni aina mbalimbali za starehe, kama vile pombe, wanawake wazuri kwa bei elekezi na muziki wa uhakika, ambavyo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nimempenda mtoto wa watu huku

    Naskia ameoa hko mafinga na ana watoto wawili
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanamuomba na kumshukuru Mungu? Wasipofanya hivyo matokeo yake ni nini?

    We hapo mwanao asipokuita baba utajiskia vp au mtoto wako anaamka kila siku bila kukupa salamu, na mda mwingine anaamua tu maamuzi yake
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaishi vipi na wanawake wenu wakiwa wabinafsi?

    Jambo la maana sana, shikilia hapohapo
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kutokomeza mende

    Sawa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kutokomeza mende

    Asantee Ntafata ushauri wako
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kutokomeza mende

    Aisee! yani unachokishangaa ndo mi pia nashangaa hivyo hivyo. Hawa ni mende wa aina gani?
Back
Top Bottom