Recent content by BLS

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa, hatutakiwi kuwapa nafasi yoyote CHADEMA

    WAPENDA HAKI WOTE NA WENYE MAPENZI MEMA NA TAIFA LETU LA TANGANYIKA naomba mnisaidie kublock/IGNORE wafuatao tena Kimbesa11 Tlaatlaah MamaSamia2025 THE BIG SHOW GENTAMYCINE kama tulivyofanya jana kwa mtu huyu@Haya land
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa mauji uliopelekwa ICC ungekuwa haujitoshelezi, wangeendelea kupitia ushahidi mpaka leo? Ni wazi kuna jambo wameona

    Wewe ni muislam gani usiye na upendo? Uislam gani usioona haki? tuachie dini yetu usituchafue
  3. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia ya kumaliza maandamano, sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza

    1.Tutafutiwe silaha 2. Tuingie msituni 3.Tuombe msaada kwa KAGAME
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ni kwa gharama za nani chama cha siasa cha Tanzania kufanyia shughuli zake Nairobi?

    CHAWA hujapata cheo tu huko serikalini? Ubunge ulikushinda tangu kura za maoni sasa unalazimasha na kujipendekeza
  5. B

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Tumefungulia maji Kimara, Ubungo, Mwenge, Masaki na Muhimbili

    STUPID UVCCM! Miaka 60 maji bado nitatizo Tanzania halafu wewe unatokea unasema asante kwa kunipa maji baada ya mateso yote.CCM amkeni
  6. B

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Tumefungulia maji Kimara, Ubungo, Mwenge, Masaki na Muhimbili

    Miak 60 ya uhuru maji bado ni agenda kuu ? Vyanzo vya maji TANZANIA ni vingi mno shida iko wapi?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaitwa Nuruvazi yule anarudisha nyuma mapambano mtanielewa baadae

    NURUVAZI ana duka kubwa la nguo lipo KINYEREZI karibu shule ya sekondari KISUNGU duka lake limeandika "NURUMAVAZI" nina wasiwasi naye sana .
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

    Hili ni sahihi kabisa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

    UONGO MTUPU ...!JWTZ,POLISI, SAMIA NA CCM ni kitu kimoja.
  10. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hilda Newton: Madai ya watanganyika/Gen Z ni haya. Yakitimizwa upendo, Amani na haki vitatawala

    Hivi fedha na madaraka mnayopewa bila kustahili ndivyo vinavyosababisha upungufu kichwani mwenu au ni ELIMU ndogo? 1. Utekaji ulikuwepo kabla uchaguzi hukuuona 2. Mauaji ya watu tena hadharani kama mzee kibao wewe hukuona shida? 3.Manyanyaso wakati wa uchaguzi wewe hukuona hilo 4.Vyombo vya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Siyo tu amewaona niwajinga bali pia anajua wana njaa na hawana cha kufanya
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi zimezidi kuhusu Namba 1 na 2 kutokupatana, ukweli upoje?

    Imechanganya mambo mkuu na umechanya majina pia. RUTO VS GACHAGUA UHURU VS RUTO
  13. B

    JamiiForums Tanzania ICC wakishatoa hukumu utekelezaji utakuwaje?

    Nchi rafiki kwa mama yko kipenzi ni UGANDA na BURUNDI tu?
  14. B

    JamiiForums Tanzania ICC wakishatoa hukumu utekelezaji utakuwaje?

    Upande waserikali pia wanapambana na yafutayo 1. Kupoteza ushahidi uliopo 2. Kuandaa mazingira magumu kwenye ushahidi wanatumia fedha nyingi sana katika hili 3. Hatosafiri nje ya nchi mpaka miaka yake mitano iishe
Back
Top Bottom