Recent content by Bloze

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mkopo Bank

    Habari JF Nina omba msaada wa mawazo yenu.. hivi kwa mfano ukiwa na fixed deposit akaunti kiasi cha sh.mil 100 unaweza kuifanya kama dhamana ya kukopea bank, halaf riba ndo iwe inalipa mkopo wako wote?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa msingi

    Habari zenu jf members Naomba kuuliza...hivi kujenga msingi wa nyumba bila kuweka nguzo kwenye kona ya nyumba ni sawa? Nyumba sio ghorofa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kujenga Apartments

    Unashangaa kibamba nenda mapinga hupati kiwanja kwa hiyo hela, labda uswahilini uko
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kujenga Apartments

    Bora nikazijenge mapinga. Atleast naweza pata plot kwa unafuu na kubwa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kujenga Apartments

    Kiwanja utaninunulia
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kujenga Apartments

    Sio ghorofa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kujenga Apartments

    Appartments 3 za chumba, sebule choo na jiko zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha ukubwa gani? Bila ya kusahau parking
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kujenga Apartments

    Kwanini?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kujenga Apartments

    Habari zenu wadau.. Mimi ni mdada nakuja kwenu kuomba ushauri. Nataka kujenga appartments za kisasa ambazo zitakuwa ni sebule, chumba, choo, na jiko.. luku ya kujitegemea na maji kujitegemea. Nimepanga kujenga tatu in a compound. Sasa bajeti yangu ni kama milioni 100. Kiwanja sina bado. Je...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Gari aina ya IST

    Oooh okay asante sana kwa ushauri.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Gari aina ya IST

    Okay.. so hiyo ya cc 1300 fwd na cc 1500 fwd tofauti ni nini?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Gari aina ya IST

    Mimi ni wa kike
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Gari aina ya IST

    FWD ina maanisha ni front wheel drive au ni four wheel drive??
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Gari aina ya IST

    Wadau habari zenu.. Mimi ni mdada sijawahi kumiliki gari, ndo nataka kununua gari yangu ya kwanza Nataka ninunue toyota IST old model. Naombeni ushauri wenu.. ipi ni njia bora kuagiza nje au ninunue showroom za hapa bongo. Na je, IST ya mwaka gani ndio bora zaidi. Na kampuni gani ni nzuri...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Maisha hayana formula

    Kwani hiyo gari pesa ngapi?
Back
Top Bottom