Airtel imetoa GB 2 na Dk. 100, kwa waathirika Hanang kwa siku 3 mfululizo.
Maana yake kwa mtu mmoja wametoa Tsh. 9000, idadi ya watu Ni 300,000+, hii ina maana;
300,000x 9000= 270,000,000/-
Kwanini hii pesa wasingeipeleka kwa wahusika?
Hii haiingii akilini kabisa!
Chama cha Mapinduzi kimefanya Kikao cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kilijadili hali ya Kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama
Aidha, kimefanya uteuzi wa Mwisho wa Wagombea wa nafasi za Uongozi ndani ya Chama kwa ngazi ya Mkoa na Wilaya ili...
Tangazo OFFER
Anaetaka kifurushi Cha halotel cha wiki
TSHS 7000 - GB 4 ,NJOO INBOX CHAP
UKIJA NJOO NA NAMBA YAKO NA PESA MFUKO WA SHATI
Tuma namba hapa 0621082183
MALIPO YOTE HUMU
0711225854 TIGOPESA
MALIPO KABLA YA KAZI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.