Biashara ya nafaka tena mahindi soko la Ilala boma nenda pale ukiwauliza vizur watakujuza cha kufanya. Nilitaman kuifanya hii biashara mtaji sina but nenda hapa ndugu yangu
Elimu yangu ni bachelor of arts with Education masomo ya Kiswahili na History naishi Dar es Salaam. Nimemaliza mwaka huu DUCE natafuta kazi ya kufundisha permanent work mahali popote. Pia kazi yoyote halal nafanya sina shida ninachotafuta ni maslahi nipate chochote sichagui kazi.
Contact...
Msanii bongo akishatengeneza jina na hitsong moja au mbili anajua amemaliza kila kit. Hakuna zoezi la kuimba live wala kuujenga muziki upya ili uwe na ladha na uvutie. Fiesta ya leo naona hakuna uhusiano wa sauti na wapiga vyombo. Wasanii wenyew wanadonoadonoa tu hawaimbi vizur.... Poor fiesta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.