Nadhani aliwapatia simu waweke namba alipokuwa anawafanyia muamala wa kutuma.....Huwa wapo Faster sana Wanasave namba yao ya kawaidaa...TIGOPESA Au MPESA kwa maandishi makubwa...Then wanajibip kule wanapata namba yako ya kawaida....Anakuja tena anakwambiaa nitumiee Pesa unatuma....anakwambiaa...
Kabisaa mimi yamenikuta sehemu nyingi...nyumba za Ibada na hata mitaani...nilipojichunguza niliona kosa lipo kwangu....
1.Kutokuwa na mipaka
2.Kumwamini kila mtu....hivyo naungana na wewe....kutopenda mazoea yasiyo na Tija
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.