Wale walifanyakazi na walichangia mifuko ya jamii. Kama walifanya makosa peleka mahakamani. Ila pesa walizochangia warudishiwe. Vinginevyo itakuwa ni dhuluma. Na anayejihusisha naye Mungu atamlipa.
Tunatengeneza matatizo bila sababu. Kutambua au kutoutambua inatuhusu nini? Nakama hatutaki misaada kwa nini tusiikatae tu mapema. Mpaka tuwekewe vikwazo ndiyo tuseme sizitaki mbichi hizi? Nchi za kenya wana akili kuliko sisi. Kwanza baadhi ya watanzania wanamwunga mkono trump. Kwa nini tuwaburuze.
Ukiona utawala unaogopa kuhojiwa basi ujue hautawali kwa haki au umejipanga kutotenda haki. Haki huinua taifa. Na ili Mungu ainue Taifa lazima aangalie kama Taifa halina manunguniko. K
Mlinzi wa Lisu ni Mungu. Tusiogope. Tuendelee kumwombea ili kusudi la Mungu kumwokoa kutoka bonde la uvuli wa mauti liweze kutimia.
Mungu yuko naye na atampigania.
Kuhusu waliokusudia mauaji wataendelea kuzofika kwa kadiri Lissu anavyoendelea kuimarika.
Mpaka sasa waanaaibika na Mungu aliyehai...
Mbowe amefanya kazi kubwa sana kukifikisha chama kilipo. Pamoja na kipindi kigumu ambacho cha kinapitia bado kimeendelea kuwa imara.
Mbowe ni kiongozi imara. Mungu ampiganie.
Kuna watu ambao tuliwaamini kama zito na slaa. Lakini walikoishia kila mtu anajua.
Kati ya watu waliotoa mchango kwa...
Watanzania tunashida sana ile kushabikia ndio kunasababisha watawala wazidi kutudharau na kutufanyia vitendo kimyume na heshima za watu. Mungu atusaidie kipindi hiki kipite haraka ili udugu na upendano wa watanzania udumishe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.