GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Nmesikitishwa sana kuwa watanzania tumekuwa watu wa ajabu tusio na ustaarabu ambao wanapokuja wanaisiasa kudhalilisha walio katika nafas flan flan tunafurahia na kushabikia sana.
Huu utamaduni sisi tunaona ndo uwajibikaj tunapoona wengine wakidhalilishwa tunadhan tupo salama. Mi nadhan katika shughuli zote tusisahau kufuata kanuni za utu bora. Hawa walio chini yetu nao ni binadamu na wanahitaj heshima.