Recent content by BLESSED TANZANIANS

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍👏👏👏👏👏👏👏👏👏😍😍😍😍😍👏👏👏👏👏😍😍😍😍😍😍😍😍👏👏👏👏👏😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 Ninafuraha sana, Chuma Hicho. Msubiri ubatizo tu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina pepo la ngono. Mi ni mwanamke...

    Fanya yafutayo; 1. Acha kuangalia video za ngono__X 2. Acha kuangalia Sana movie za kizungu ambazo mpaka ngono ipo. 3. Acha kukaa bila kazi muda mrefu, upo Idle sana ndio sababu unakuwa na hayo mawazo. 4. Mwombe sana Mungu akutolee mbali hayo mawazo 5. Mtamani mmeo tu 6. Achana na marafiki...
  3. B

    JamiiForums Tanzania ATCL yatua Entebbe, Waganda wafurahia uwanjani

    Mungu Ibariki ATCL, hakika Tunasonga Mbele
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke wa kuoa

    Ni mwaminifu, kukosea kuandika sio sababu ya kuamini katika ulivhoandika
  5. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke wa kuoa

    Usihofu Mkuu hiyo sio ya Lazima, ina Exceptional
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke wa kuoa

    Mimi ni kijana mwenye Umri wa Miaka 28 natafuta Mke, sina kazi maalum Bali ni mpambanaji. Ni mrefu wa wastani, Nina Mwili ambao ni Presentable na Watu wanapenda kuniiita Gurdiola wa Tz. Kwa sasa Nipo Dar Mchumba awe na Vigezo vifuatazo 1. Bikira (Compulsory) 2. Miaka isiyozidi 25. 3. Awe na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila, aagiza kijiji kizima wawekwe Korokoroni! Polisi watinga Kijijini hapo kutekeleza agizo

    Jamani Watanzania Tunahitaji kutafakari sana, Mimi natokea kijiji cha Mashese kata ya Ilungu na nimechangishwa kusaidia huu Mradi. Nilisikitika sana juzi nilivyosikia kuharibiwa kwa Mradi wa Maji ambayo ndio kwanza ulikuwa umeisha na Watu walikuwa wanasubiri kuzinduliwa na kuanza kutumia maji...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ajali: Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Abdi Issango apata ajali

    Pole Sana kamanda wetu mungu akutie nguvu na kukuponya. Awaweka Mahali wanapostahili waliotangulia
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Ulinzi na Usalama wa ya Bunge yashindwa kuwasilisha ripoti juu ya shambulio la Tundu Lissu

    Duh. Tushaelewa mharifu wa kufanya mambo. Kashamwagiza spika aliyewekwa mfukoni. Samahani ngoja nikapambane na hali yangu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tuviachie vyombo vya usalama! Ooh sorry, vyombo vya dola

    Tiss. The Highest Gang in the Nation of Tanzania. The Gang is well known as "Watu Wasiojulikana". Tunaomba Tushirikiane Kupambana na hili kundi la Watu wasiojulikana. Ushauri: Naomba ukiona unafuatwa fuatwa na wasiojulikana jitahidi kuwaangamiza kwa uwezo wako.
  11. B

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Saed Kubenea(Mb) augua ghafla, akimbizwa hospitali

    duh hatari Sana. Apone haraka
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kupelekwa Marekani kwa Matibabu zaidi

    Tutachangia. Utaratibu tuu uwekwe
  13. B

    JamiiForums Tanzania Blogger Robert Alai(Kenya) amtaja RC Makonda kuhusika na Shambulio dhidi ya Tundu Lissu

    Mimi nilikuwa nampinga Lissu kwa mambo ya kupinga Kila kitu cha serikali lkn sio KUTAKA KUCHUKUA UHAI WAKE. I HATE THOSE ORGANIZED THE ASSINATION FOR TUNDU, HOPE GOD WILL REWARD THEM ACCORDINGLY.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Blogger Robert Alai(Kenya) amtaja RC Makonda kuhusika na Shambulio dhidi ya Tundu Lissu

    Nashauri nchi nzima kuwe na kampeni ya kudai Bashite aeleze aliko kuwa siku ya Lissu kupigwa Risasi. Bashite Twambie ulikokuwa siku ya Lissu Kupigwa Risasi.
Back
Top Bottom