Kwenye connection wa kipande cha waya cha adapter na pc kunapigaga vikelele flan mara kwa mara cjajua ni vya nn. na nikikonect kwenye stablilizer, stablilizer huwa inapiga kelele.
haina wakat maalum nnaweza nikakaa hata cku kadhaa isizime ila inaweza tokea cku nimewasha nmeitumia kidogo ikazima. Joto ililonalo nikitumia sio kubwa ni joto la kawaida kama lilivyokuwa mwanzo
Nina laptop yangu aina ya Toshiba satellite betri lake limeharibika siku c nyingi kwahiyo natumia moja kwa moja toka kwenye umeme. Sasa hivi imekuja na tatizo jipya ambalo ni kuzima ghafla lakini ukiiwasha inawaka kama kawaida. Ni tatizo ambalo halitokei mara kwa mara ila co mara moja nimekutana...
Habari wanakuu; Nina Laptop yangu Toshiba satellite C850-B540 ghafla haionesh kma inachaj yaani kile kitaa chekundu kinachowakaga ukiingiza charger baadae kinakuwa cheupe betr ikijaa hakiwaki. Cjajua ni betri au kuna kitu kwenye pc kimeungua mana. Ingawa inanipa warning kuwa nahitaj badili betr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.