Recent content by blank

  1. blank

    Le Mutuz Kuagwa Karimjee kesho Jumatatu kuzikwa dodoma

    Saudi ya Umeme!!! Rest in Peace LeMutuz
  2. blank

    Je, mlinzi/mpambe wa Rais akiwa nje ya majukumu yake naye huwa analindwa?

    Haya tusaidiane kwenye lugha ya malkia. Kuna namna nyingi ya kuandika sentensi. Na kwa kifupi umeeleweka ila ina makosa kidogo ya kiufundi, kwa mfano neno publically lilitakiwa liwe publicly. Also sentensi imekosa njia ya mkato na vituo ambayo inafanya kuisoma iwe ngumu kidogo. Mwisho, sentensi...
  3. blank

    Ubora wa bidhaa zinazouzwa na Maduka ya Woolworth

    Mkuu Allen, Vitu vya Woolworths viko imara, hauta juta ukinunua. Ila kwa bei za hapo ziko juu sana, nafikiri kwa sababu ya kodi Na wao kutengeneza faida. Huku South Africa cadet ya Woolworths inaanzia R350, ambayo ni kama Tsh 50,000 ya Tanzania.
  4. blank

    Niende s/Africa au Mauritius?

    Mkuu mimi ninaishi Johannesburg. Maisha ya huku ni poa kama una kazi. Kuja kutembea ni poa tu kwani utakuwa huku kwa muda mfupi ila usifikirie ndoto za kuzamia. Maisha ni magumu na watu hawana huruma. Kama unakitu specific unataka kujua usisite kuuliza, nitakusaidia. Nakushauri njoo na ndege...
  5. blank

    Huko Mbezi Beach....anayepajua hapa leo atuambie!!!!!

    Hapo si kwenye ule mto unaogawa Kawe and Mbezi beach, njia ya chini? Nakumbuka enzi hizo hii njia ilikuwa haina foleni kabisa kwa sababu ya madimbwi and maandaki yake lakini siku hizi ni lami tupu. Enzi hizo wakati wa mvua kulikuwa hakuna uhakika wa kufika unakokwenda. Kweli Dar es Salaam...
Back
Top Bottom