Recent content by Blandina Vedastus

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya kuuza maharage

    Mkoa wa shinyanga
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya kuuza maharage

    Poleni na uchovu wana JF, Ninaomba kujua juu ya biashara ya uuzaji wa maharage, sehemu yanapopatikana kwa bei nzuri, soko linapaytikanaje na misimu ya kuuza? Nitashukuru endapo nitapatiwa ufafanuzi. Ahsanteni.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, natafuta ajira yoyote

    Niko makin mnoo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

    Ohoo asante dear
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

    Unaaply vipi mbona inagoma
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ijenge barabara ya mwendo kasi ambayo ita-charge hata Tsh 1000 kwa Km 1, ila speed isipungue 150 kwa saa

    Nyie huyuuuuuuu ,,,njaa inauma watu hatujakunywa chai
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vijana msioe kama bado hamjajipanga, unakuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo, ist, vitz n.k

    Umeongea point kubwa mno,unawakarisha tamaa kabisa kuna vijana wengi tuu mtaani hatuna ajira sasa ukiongea maneno kama hayo si ndy unawavunja hata moyo wa kuwa kwenye mahusianoo, hayo magari unayomiliki wengine hata baskeli hawamiliki kabisaa , kama unahuruma wape na wao mbinu za kufanikiwa kama...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vijana msioe kama bado hamjajipanga, unakuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo, ist, vitz n.k

    Asitutisheeee, pesa anazo yeye sio kila mtu anazo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Vijana msioe kama bado hamjajipanga, unakuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo, ist, vitz n.k

    Sio poa sasa kama sie tunapata hao maskini kwa maana hiyo wasituoee
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, natafuta ajira yoyote

    Kweli aisee, ndy kilichopoo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Vijana msioe kama bado hamjajipanga, unakuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo, ist, vitz n.k

    Hahaha umenichekeshaaa, kwa hiyo wasio na pesa wasioe? Wanadamu funatofautiana viwango vya pesa kwamaana hiyo watu hawataoa kama ndy hivo maana kunawengine wanazeeka hata bajaji hawajamiliki
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, natafuta ajira yoyote

    Nimejiajiri pia sijakaa tuu kizembe, lakini nj vizur kufanya kaz ya taaluma yangu maan ndy ndoto yang
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, natafuta ajira yoyote

    Shinyanga
Back
Top Bottom