Recent content by Blaked94

  1. Blaked94

    Dark days 17/03/20

    Uyu yoga chenga tu hana lolote…naanza kuamini ni propaganda wa kp…anabeti matukio ndo arudi kujfanya anajua yajayo
  2. Blaked94

    Dark days 17/03/20

    Kw navoona ni km Mleta mada alkua anasubria maamuzi ya mahakama kuu ya 🇰🇪 Ndo apate pa kuendelezea
  3. Blaked94

    Dark days 17/03/20

    ooh oh ndo naiona i,,,oi ishi ase btw sikupangii kikubwa punguza shobo! kama inauma zaa tu masta au unaonaje ukija na thread yako kabisa ya shobo shobo
  4. Blaked94

    Dark days 17/03/20

    sema mzee unapenda sana atention,,unawish ungekua Yoga sio😂,,Unaongea sana mzee,ebu ongeaga kidogo na mafact asee,,bnafsi unanichosha unavyojikuta...Punguza shobo kwny thread za watu,fanya yako
  5. Blaked94

    Dark days 17/03/20

    Now that dili la bomba la mafuta from UG to TZ linaelekea kukwama,,naweza ku-connect dots ya rafu inayochezwa na kina freedom
  6. Blaked94

    Dark days 17/03/20

    nimeielewa Point yako saaana,Binafsi niliwahi kuwaza i kitu!! tusome ila tusibebe mambo km yalivyo...za kuambiwa Changanya na zako,,sombdy smwhere ni King wa Propaganda na sisi bongo tunapenda propaganda so anatupatia mdo mdo
  7. Blaked94

    Je, Mungu ana sura ya mwanadamu?

    ni kweli Mungu alituumba wanadamu kwa mfano(utukufu) wake. Kwanini? ili akatawale vilivyomo duniani ~(Dominion), km yy atawalivyo kila kitu. Lakini mwanadamu anabaki kweny nafasi ya utawala(mamlaka) endapo tu atabaki kweny kuumbwa kwa mfano/sura/utukufu wa Mungu! Sura ya Mungu ndiyo ile waliokua...
  8. Blaked94

    Je, nyani jike au sokwe jike wanapata hedhi?

    wanapata ndio,tena zao ni ndefu kuliko za wanawake zetu...zinaenda mpka siku 35 nk
  9. Blaked94

    Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    kama kw izi comments hawa ndo Watusti basi nasikitika kusema wanastaili walchokipata...Zero brain comments asee🤯 imagine they never learn from history. Kumwelimisha mtu mweusi mpk akaelewa kunaitajika neema ya Mungu tu.
  10. Blaked94

    Ujasusi Sebuleni Kwetu

    Habibu huu uzi hakuumalzia,ni moja ya madhaifu yake naona!! Bora asingeuanza tu
Back
Top Bottom