Recent content by blackkodi

  1. blackkodi

    JamiiForums Tanzania Nani adui wa CHADEMA - Freeman Mbowe au Tundu Lissu!?

    Mbowe adui namba moja wa chadema yeye na kamati zake ndo mwanzilishi wa vurugu zote hadi za kudai mali cha chama
  2. blackkodi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Klabu ya Yanga imechagia milion 100 CCM gala dinner 2025

    Daaah nawaonea huruma mashabiki wa utopolo kumbe simba huwa tunashinda na dola ya ccm uwanjani yanga ni picha tu
  3. blackkodi

    JamiiForums Tanzania Press za Polepole kwa sasa hazina tija

    Madhara bado yapo makubwa sana, angekuwa hana madhara basi wasingekuwa wanamjibu bado anadeni na sisi atubu kila kitu walichofanya kuongea kwake ndo anasafisha nzuri
  4. blackkodi

    JamiiForums Tanzania Hili la Salim Kikeke kuhusu masoko ya Nguruwe mnalionaje ndugu zetu waislamu?

    Safi kasema ukweli maana soko lipo ila halipo wazi nguruwe anatolewa huko anapelekwa Dubai na Baadhi ya mashekhe wanahusika kwenye hiyo biashara
  5. blackkodi

    JamiiForums Tanzania GE2025 January Makamba: Changamoto niliyopata ni kuwaeleza Watoto wangu ambao ni Gen Z na baba yangu mwenye miaka 88 kwamba Nimekatwa Ubunge

    Hahahaha jk mjanja sana ujue tayari alishajua kifuatacho sasa yule mzee wake nahisi soon atakufa tu na Bado atazidi kuwafagia tu
  6. blackkodi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi wanaCCM mnaelewa madhara ya mabadiliko madogo ya katiba yenu mlioyapitisha leo?

    Kuna kitu umenistua hapo haya mabadiliko yamewalenga akina mpina , gwajima wale wasema kweli ili kuwa minya kusema ukweli au kutoa mitazamo yao hiki kitanzi ni hatari
  7. blackkodi

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

    Ujue tu siku nguvu zako zitakapoisha lazima tu kisasi kitalipwa , utateswa zaidi ya wewe ulichofanya ongea nao tu vizuri watahama tu usiwe na haraka
  8. blackkodi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

    Sana hadi tunatia huruma yaan
  9. blackkodi

    JamiiForums Tanzania Hawa Hapa wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia pamoja na kuigawa na kuleta vurugu ndani ya CCM

    Mimi nilijua umewataja majina
  10. blackkodi

    JamiiForums Tanzania CCM nyaya zimegusana

    Usimsahau na mzee wa ififaki ikulu steve town huyo ndo muongoza dira ya waganga ikulu
  11. blackkodi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

    Soon mwisho unafika angalia movie na kizuri zaidi wote wanajuana kwahy kwenye hii vita hakuna mnyonge
  12. blackkodi

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Ujima, Slowslow, Kiluvu na Modemba meza moja, Fahamu kazi ndio imeanza...

    Acha tujipe muda picha ndo kwanza limeanza bado kuna wengine hawajatoka kuongea hapo
  13. blackkodi

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole huwezi kuuhadaa umma wa watanzania hawa kwani siyo wajinga vile unavyofikiri

    Tatizo waliza inje na kusahau ndani hakuna vita kama ya ndani kwa ndani, alianza ndugai , akafat ngwaji boy sasa zamu ya mzee wa slow motion ila jamaa ni mwelevu sana soon kuna mwingine atatokea huyu sasa atatokea sehem za kusini mjiandae
  14. blackkodi

    JamiiForums Tanzania Waliomfungia mtu mlango asitoke sasa ukuta unavunjwa

    Hakuna vita nzuri kama vita ya ndani kwa ndani welldone polepole tunapo na wewe
Back
Top Bottom