Recent content by blackjapanese

  1. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Meya wa jiji afichua uozo uliopo halmashauri ya jiji

    Haya sio mapenzi,bali ni mahabaash.chezea Peeopleeesss wewe
  2. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Waliofisadi zabuni za Reli ya Kisasa (standard Gauge), watiwa nguvuni

    Hivi mzee 6 ndo kapotea mazima?
  3. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aivunja Bodi ya TCRA, amsimamisha Mkurugenzi Mkuu kwa kusababisha hasara ya Bil. 400

    Kiujumla inatakiwa viongozi wote serikakini ktk wizara na sekta zote waondolewe ili utumbuaji uishe.
  4. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya 'kumtumbua' waziri wa Magufuli utaanza na nani?

    Nepi,kambale,
  5. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Liyumba: Msionyeshe sura yangu kwa umma

    Tutaamini vipi kama amefariki.isije ikawa kama ya balali.Ila poa tu,laana za watz zikizidi mwisho huwa ni mauti
  6. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Historia mpya Yaandikwa Kinondoni, Mstahiki Meya Asaini mkataba wa miradi ya miundombinu

    Viva chadema,viva mbowe ,viva Lowassa
  7. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ndie rais ajaye wa JMT 2025

    We we ni wakala wake? Atakuwa rais chini ya chama gani? Hachukui posho? Mbona alichukua mlungura wa kutosha tena kauchukulia Ujerumani? Kama asingekengeuka kwa CHADEMA,tungemuamini.Lakini kwa sasa tukimpa urais,atatuuza kwa wajerumani
  8. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Wilsoni Kabwe baada ya kutumbuliwa jipu darajani na Rais Magufuli

    Hi yo yote anajibu jeuri kwasababu wakitumbuliwa wanaachwa wanazagaa mitaani.Utaratibu uwekwe kuwa mtu akitumbuliwa,ashikiliwe na polisi baadae keko akisubiria uchunguzi
  9. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Alichojibiwa Mkuu wa Wilaya Baada Ya kuomba Mchango wa Mwenge Kwa Mbunge

    Pelekeni mwenge Kwenye national musium
  10. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Nape Moses Nnauye wanifanya nimchukie Magufuli

    Simpendi toka zamani
  11. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Izack Emil afikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumtukana Rais Magufuli Facebook

    Nchi hii ina matatizo mengi ya Ku deal nayo kama vile ya wakina Lugumi a.k.a lizi moja.zilizo baki ni hoja nyepesi.
  12. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ningejua kama Urais ndio hivi, nisingegombea

    Lost id ,hapo umemaanisha nini?
  13. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kampuni ya Lugumi: IGP na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani watupiana mpira

    Tumpe muda mh,rais .Ninaimani atalishughulikia tatizo hili kwani hili ni jipu kama majipu mengine
  14. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania JK azidi kupasua anga Ulaya

    Majipu makupwa ya pajani ni wastaafu wawili
  15. blackjapanese

    JamiiForums Tanzania Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    Hiyo ni ngumu kwani tumegundua kuwa sehemu nyingi na nyeti wamejaa wenyevyeti fake. Tukisema ifanyike review vyombo vya habari vitafunua macho ya watz taifa lita aibika. Kwakuwa wanajulikana, watapigwa chini mdogo mdogo mpaka waishe. Tumuombee rais wetu.
Back
Top Bottom