asee mm ata sielewe hawa UTT nliwekeza milion tano mwaka jana ambapo faida ilitakiwa kuwa laki 6 , Lakin naona muda haujafika na laki 6 ishatimia sjui wamejisahau bado mwez mmoja lakn bado faida inazd makadrio kwa mwaka
Wengi wanaosema siwez kuweka million 100 noasubr gawio la million kwa mwkaa wengi hawajawah shika ata million ya kwao , ivi unajua nguvu ya kupata million 100 na ku risk ipotee kizembe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.