Recent content by Black transplant

  1. B

    Jina la Israel na maana yake

    Jina la Israel ni jina la nabii YAKUB Baba take YUSUF yeye ndio alieza watoto 12 na jina hilo alipewa na ALLAH (swt) na wale watoto wake ndio wanaitwa Wana wa Israel baada ya kuishi misri myaka mingi ndipo MUSSA alikuja kuwarudisha falestina .ndio sikatai upo Sahihi mkuu Israeil mana yake ni...
  2. B

    Wakatoliki wapo matatizoni

    Ukatoliki dini ya mchongo lakini ni kama wa katoliki wengi bado wamelala vipi mtu mwenye akili zake timamu utaenda kuungama mbele ya kiumbe kama were je yeye Hana makosa wala hakosei Sababu kuu nikupenda kuskia kila wanachoambiwa na kuaminishwa Ni kama akili IME stop ha ifunction
  3. B

    Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

    Mjadala sio wa islam tuna zungumzia ushoga ndani ya kanisa katoloki . Hata mimi huwa najiuliza sana kwenye haya mambo ya ushoga na katoloki plus siasa za dunia,katoloki ni dini ilio anzishwa baada ya Jésus na walio ianzisha no wale wale walio kuwa Wana mpiga vita jesus kabla hajatoweka Yani...
  4. B

    Tufute somo la Historia kama tunashindwa kufundisha historia halisi ya mtu mweusi

    Mkuu ni kweli kuna kitu wameficha kwa sababu humanity revolution ya Kwanza ilianzia Africa ,the first billionaire wa Kwanza na hajawahi kupatikana kwenye USO wa dunia alikuwa mweusi anatokea West Africa MANSA MUSSA THE RICHEST MAN IN HISTORY.na huyu mwamba alijenga chuo cha Kwanza kikubwa Africa...
  5. B

    Wapalestina Gaza wagaragazwa wenzao wanaangalia tu. Huu ni unyama

    Mkuu Acha kutowa povu hujalazimishwa kuwa mu islam amekwambia wenzio kutokana na mambo yanayo endeleya Gaza wamepata fursa ya kujifunza uislam ni Nini ,lakini sio lazima Uwe mwislam
  6. B

    Wapalestina Gaza wagaragazwa wenzao wanaangalia tu. Huu ni unyama

    Hahahhh Afghanistan Kiko wapi Leo Israël anacho kifanya kuuwa civilian wasio kuwa na hatia ndio mwisho wake,alaf kingine hii vita haishi Leo ao kesho mkuu hata 50 years plus anavouwa raia watoto wadogo wa mama wazee ana zalisha wakina Hamas wengi na uadui mwingi hawezi kuwa salama
  7. B

    Wapalestina Gaza wagaragazwa wenzao wanaangalia tu. Huu ni unyama

    Bro shida ina kuja sehem moja haya unayo yaona Leo ni mikakati na mipango ya muda mrefu walio panga mayahudi walijuwa iko Siku moja tutakuja kusimama na kuitawala dunia sio mwarabu tu hii kitu IPO karibia dunia nzima kuna mikataba uchwara walisha signishwa inchi kibao Kwa faida Yao na Leo hii...
  8. B

    Wapalestina Gaza wagaragazwa wenzao wanaangalia tu. Huu ni unyama

    Wewe bado Una lala huja amka usingizini,unamjua gaidi kweli 11 September ulikuwa na umri gani kijana ,Nani alimuua muammar gadaf vita vya Iraq vita vya Syria vita vya Vietnam iroshima na Nagasaki vita vya wanyarwanda wenyewe kwa wenyewe chanzo unakijuwa na Kwa nini waliuwana ilikuwa ilikuwa ni...
  9. B

    Qatar: Mapigano Israel na Hamas yatasimamishwa Ijumaa Saa 1:00 asubuhi na Mateka Wataachiwa Saa 10:00 Jioni!

    Wewe huna akili na macho huna kipofu maiti iliokuwa hai maskini wa mawazo
Back
Top Bottom