Recent content by Black Tanzanite

  1. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ufugaji wa Nguruwe Unaweza Kuwa Utajiri Mkubwa?

    kaa nayo hiyo😎
  2. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ufugaji wa Nguruwe Unaweza Kuwa Utajiri Mkubwa?

    kiaje? fafanua!
  3. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Wanafki utawajua tu....mmeligeuza jukwaa kuwa la hovyo halafu mnakuja kujiliza hapa! MMEMMTUKANA MAMA WAWATU KAMA VILE HAMNA MAMA, MMEMTUSI RAISI KWA KEJELI NA DHIHAKA , hata mimi nisingekubali aisee! MODS NDIO WANAFKI WA KWANZA, MNAFUTA VITU VYA MSINGI MNAACHA VYA HOVYO...! sasa tukafanye KAZI😅🤝
  4. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ufugaji wa Nguruwe Unaweza Kuwa Utajiri Mkubwa?

    hata binaadamu pia analiwa! pontless
  5. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ufugaji wa Nguruwe Unaweza Kuwa Utajiri Mkubwa?

    kwa hiyo unanifokea au?😁
  6. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ufugaji wa Nguruwe Unaweza Kuwa Utajiri Mkubwa?

    Mimba miezi 3,watoto 21 lakini wanashindwa wingi na ng'ombe ambae mimba ni miezi tisa na anazaa toto moja tu...😅lakini hii ndio asili ya wanyama wasiotakiwa kuliwa na binaadamu, mfano mbwa,paka na wenye kufanana na hao!😎 hata hivyo ni mradi mzuri hela ipo, nimewahi kuufikiri huu mradi,kufuga...
  7. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Leo nitawapa ishara moja kati ya ishara kadhaa ambazo utaziona pindi unapokaribia kufa

    Uote Usiote,Utakufa tu..! BAADAE NDIPO KIFO CHAKO KILIPO😎
  8. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Mapacha maarufu walioungana Abby & Brittany waonekana wakiwa na kichanga. Lakini, kila mtu anajiuliza swali hilo hilo..!

    uiweke wapi sasa...na umeshasema HATA WAO WANA HAKI YA KUWA NA MPENZI🤔
  9. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Mapacha maarufu walioungana Abby & Brittany waonekana wakiwa na kichanga. Lakini, kila mtu anajiuliza swali hilo hilo..!

    itakuwa kama wale wa wa kwetu wale.....unawakumbuka?
  10. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Life Code: Siri ya mafanikio yako imefichwa kwenye tarehe, mwezi na mwaka wako wa kuzaliwa

    hata ukisema sijakuita...mimi inbox siji😆😁
  11. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Life Code: Siri ya mafanikio yako imefichwa kwenye tarehe, mwezi na mwaka wako wa kuzaliwa

    ndio anataka kutoboa sasa kupita wa wavivu😆
  12. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

    ukiona ugumu ujue kuna ugumu
  13. Black Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

    Alichouliza huyo huko ulipopata huo mjadala,sicho ulichouliza wewe....WEWE UMEULIZA KINAFKI SANA,itakuwa mtu wa CUBA wewe😆
Back
Top Bottom