Kwa Upande wangu naiomba serekali ya Makufuli , imtumilie huyu Dada kwa badhi ya mambo fulani tu, kama ilivyokuwa yule Dada wa Kizenj waziri wapesa ,ilikuwa Nchimba ndio anawakilisha Tz ,hawa watu wa Makka kuna sehemu inakuwa ni vigumu kuwachanganya au kutuwakilisha hasa wanawake wao ,pia...