Recent content by Black Elon

  1. Black Elon

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Ifute hiyo inayoonekana yaani bonyeza pale kwenye kile kialama cha X hiyo ya zamani itatoka utaiona mpya tayari ishaupload usiziache zote mbili.
  2. Black Elon

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mikando 🙌🏽
  3. Black Elon

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    This is helpful brother ubarikiwe na kila kheri kwenye majukumu yako mapya. Ikiwa kuna senior mwenye cha kuongezea hapo sio mbaya ajitokeze. Shukran.
  4. Black Elon

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tunaomba hints za oral hata kidogo mkuu maana siku hizi zimekuwa adimu baada ya watu kupiga usaili.
  5. Black Elon

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    😃😃😃
  6. Black Elon

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hizi kada nyingine zinahusiana vipi na uchaguzi? Kuna almost mwezi kabla ya uchaguzi wangeweza kupunguza wasaili wa kada kibao tu hapo kati.
  7. Black Elon

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Si ulisema hakuna unfit mzee? 😃
  8. Black Elon

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Jina la uzi liongezwe liwe "Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu usaili na kazini?"
  9. Black Elon

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tafrani tupu. Mimi nilifurahi walimu kuitwa usaili ili wamalizane nao na sie gombania goli tuendelee lakini hali ishakuwa mbaya sie wengine tutaitwa usaili mwakani kama ndio mpaka wamalizane na walimu.
  10. Black Elon

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Sawa tutaona. 😃
  11. Black Elon

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kwamba hii intake haina unfit kiongozi?
  12. Black Elon

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nadhani hawakupaswa kupewa hili jukumu la afya na walimu limewaelemea sana sasa kila mahala panavuja.
  13. Black Elon

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wamalizane tu na watu wao tupige hizo interview tuwaze mambo mengine.
  14. Black Elon

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Na hivi imekuja hii ishu ya walimu na afya hizi received za may na june tutaitwa mwakani.
  15. Black Elon

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira hiki nini toeni majina ualimu, tusailiwe watu kukalime tumbaku tumeshachoka kusubilia.

    Walimu na waafya mnadeka sana. Wenzenu huwa tunasota hadi miezi sita kusubiri tu kuitwa written.
Back
Top Bottom