Lipumba hana mke na mkijidai kubisha nafunguka zaidi,Alaaa!! naombeni mnaoshadadia lipumba anamke mkae kimya kabisa.acheni kuleta utani na watu wenyendoa zetu.ndoa si kazi ya kupepeta mdomo,ndoa si shahada ya uchumi.Alaaa!!jaribuni tena kujifanya mnajua kutetea(wakati hata jogoo awiki)jamani...
Ndugu zangu kunavitu vingine unaitaji kujiongeza mwenyewe.najipenda na ninaipenda familia yangu usalama ni mdogo sana katika hii nchi.lakini sisababu yakutoanika maovu yao iliwajue wananchi tumechoka.
Wakunielewa anielewe wakubisha abishe.
Upangaji upya wa matokeo ya form4 imewatengenezea watu pesa,vigogo wametoa pesa ili watoto wao wapangiwe madaraja ya juu,vimemo vya tawala katika upangaji kutoka kwa baadhi ya viongozi wa serikali wakishindikiza watoto wa ndugu zao na marafiki zao wasaidiwe.jamani inaumiza sana. Nimeamini kila...
Ohoo! solly my teacher. According to my statement the word leality is not correct, and you seems to be a good teacher. How you can teach someone without earning any thing from him is very amazing. In hundred people you can get one person like you. Good lucky my teacher.Tchao
Unajua kila kitu kilichopangwa na mwenyezi mungu kinadhawabu kubwa sana.Ndani ya vitabu vyote vya dini zote mbili neno ndoa ni muhimu sana iwe kwa mwananke au mwanaume,pale hunapokwepa kwa makusudi kutekeleza jukumu ili jua kunamapungufu au usumbufu utakutana nao katika maisha yako.kwa sisi...
Mimi nashindwa kupata jibu asilimia kubwa ya watanzania wamegeuza vyama vya siasa kama ushabiki wa timu za mpira wa miguu,wengi tunashabikia chama bila kujua faida na hasara ya chama unachokishabikia.jamani siasa siburudani kama ulivyompira wa miguu siasa imebeba roho na rasilimali za nchi,siyo...
Naombeni kuuliza ndugu zangu kabla nimejitaidi kufanya kazi mbalimbali na hata biashara mbalimbali ila ulipaji wake umekuwa mdogo na wajashokubwa,ila nimefatilia hizi kazi mbili naona zinaweza kunilipa,ukizingatia hakuna cha kulipa mapato au kuwekeza mtaji,mtaji ni mdomo wako tu.ukijua kupepeta...
serikali mkıkaa kımya nı wazı Lipumba ametumwa na ccm,ıtakuwa ni moja ya mbınu zenu kuwagawa watanzania sababu tu ya 2015.lakıni kumbukenı hakuna vıta mbaya kama vıta ya udıdı sıjua mtasema nını kwa mungu,haya maısha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.