rushwa ya tawala upangaji upya wa matokeo ya Form4

rushwa ya tawala upangaji upya wa matokeo ya Form4

black and white

Senior Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
102
Reaction score
26
Upangaji upya wa matokeo ya form4 imewatengenezea watu pesa,vigogo wametoa pesa ili watoto wao wapangiwe madaraja ya juu,vimemo vya tawala katika upangaji kutoka kwa baadhi ya viongozi wa serikali wakishindikiza watoto wa ndugu zao na marafiki zao wasaidiwe.jamani inaumiza sana. Nimeamini kila kinachofanyiwa marekebisho na serikali jua kunafaida binafsi kwa viongozi wa serikali.INAUMIZA.
 
Umejuaje? Njoo na source ya taarifa hyo kama ni uzushi tutaleta mkanganyiko
 
Muwe madhibiti hisia zenu jamani cyo lazima uaminishe watu wote jambo hilo, je?, unaushaahidi na hilo jambo?
 
Sishangai sioni ulazima wa kupanga tena
 
Jamani hilo linawezekana sana kwa nchi yetu, ingawa ushahidi ni muhimu sana lakini hebu tujiulize nchi yetu hii ni rahisi kuwa na ushahidi wa kila jambo? Je kukosekana kwa ushahidi ndiyo mambo mabaya hayafanyiki? Tafakari ... Mfumo mbovu sana wa utawala kazi kwetu wenye nchi.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ndugu zangu kunavitu vingine unaitaji kujiongeza mwenyewe.najipenda na ninaipenda familia yangu usalama ni mdogo sana katika hii nchi.lakini sisababu yakutoanika maovu yao iliwajue wananchi tumechoka.
Wakunielewa anielewe wakubisha abishe.
 
Back
Top Bottom