Hii ni aibu kubwa sana kwa mkoa wa SONGWE..nimepita mikoa mingine barabara unakuta ya kawaida lkn wameijenga vzr.miji mikubwa ya wilaya ya mbozi chanzo kikuu cha mapato ni barabara hii.
Isitoshe kuna gesi na mafuta umesema vimegunduliwa na wanapita humo na mamitambo yao na vumbi lkn kama hawaoni...
Mkuu hiyo ya barabara ngapi kwa umuhimu wake hazijajengwa sio kazi yangu..mimi nalalamikia inayonihusu.
Kuhusu barabara ya iyula kama ni maamuzi ya mkoa basi ulichemka kwa sababu:
Ile barabara inaenda kuunganisha hadi ileje tayari ipo ya mpemba ndani ya mkoa.
Pia sio ya kimkakati kwa uchumi kama...
Moja kwa moja kwenye hoja.
Mimi ni mkazi wa mbozi..tumekuwa na barabara kuu inayounganisha mlowo-kamsamba-sumbawanga.hii barabara ni nguzo kubwa sana ya uchumi hasa ktk miji ya mlowo na vwawa.ni tangu zamani watu wamekuwa wakihoji kwa nini barabara muhimu kama hiyo haina LAMI?
Je, mbunge wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.