Recent content by Bkbwana

  1. B

    Nimeumia sana baada ya mwanamke kunichezea na kuniacha

    jaman wanawake achen tabia za kulaghai wanaume ata me bro kaniduu hvohvo da?
  2. B

    Naombeni njia jamani nifanyeje

    ndg mabint wa cku hz hawaeleweki pole sana kaka wanapendwa kudanganywa na vitu vdogo sana pia influence ya marafki ikiwemo badae huja kujuta yanayowakta na ktaman kurudiana lakn huogopa
  3. B

    Bara lenye warembo, sexy na wenye mvuuuuto wa mapenzi ni lipi?

    antaktika kuna warembo wanaitwa penguine mze
  4. B

    Msaada: Je naweza ingia

    mkuu me navojua kama ulikuwa unarisit advance unaenda lakn kama ni fresh f4 advance huna mana advance u murt have 3c i mean creditz.
  5. B

    Msaada: Je naweza ingia

    ndg advance utaendaje wakat c3 huna.
  6. B

    kumbe ndo sababu ya kunyimwa mkopo dah inauma sana

    ndg pole hukujua policies za loanbod ilikuwa first to aplpy first to be treated/chosen. Wewe ulituma lin? May,june, au july? Km ulituma mwishon mwa june au mwanzon mwa july unaeza kosa mana walitoa option mapema kuomba mkopo hata kabla matokeo ya f6 kutoka.
  7. B

    Ni neno gani unakumbuka siku flani ukitongoza/ukitongozwa unacheka hadi leo ??

    Me nacheka tu nikikumbuka nilimwambia mdada mmoja kwamba 'ushawahi kupanda ndege? Akasema hapana! Basi nikamwambia nitakununulia ndege ukinikubalia mara akanirukia na kunikumbatia, waschana bwana! Wakati hata kijijin kwetu penyewe uwanja wa ndege ni ndoto kuupata. Teh.
  8. B

    Udhaifu wa wanawake

    juzi nimetoa laki 8 kwenye mpesa yake cha ajabu kang'ang'ania jero tu. Eti kaipenda ! Ooh hajanywa chai, mara oh anataka kununua bigbom. Bandg nilijiuliza maswali nikaishia kucheka. Ckujua anamaanisha nini.
  9. B

    Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

    Da? Kaka mpe pole ila mimi co mwanandoa lakin hali inaonyesha kuwa mama aliekopeshwa hela pamoja na mke wa jamaa kuna dili limechezwa aidha kuna mwanaume anamchukua mke wa jamaa na mipango yote wanaijua wote watatu yani mama mkopeshwaji, mke wa jamaa na kinjemba behind . Da! Pole kaka ni hayo...
  10. B

    Hello

    Karibu e!
  11. B

    Nawakome...!

    Tehtehteh
  12. B

    Mkopo wa elimu ya juu kwa wale wa diloma bado ni tatizo.

    Ahsante mkuu najua pole sana ni tungo tata lakin kuna ujumbe ndani yake tutaufanyia kaz.
  13. B

    Mkopo wa elimu ya juu kwa wale wa diloma bado ni tatizo.

    Msife moyo km kweli ulifunga na kumuomba walao siku mbili tatu hv na umetoka kapa ! Bc jua mpango wa mungu kwako ni mkubwa sana tena sana kuliko hata walopata mkopo ndg! Pili mkumbuke kuwa mawazo ya mungu sio sawa na mawazo ya mwanadamu huwez jua km ungepata mkopo kingetokea nini, tarajia kitu...
  14. B

    Majibu ya bodi kwa waliokosa mkopo

    uko sawa ndg lakini angalia ucjevkadhuliwa wewe vicevesa of ur plan, c unajua mungu sio jose?
Back
Top Bottom