Naombeni njia jamani nifanyeje

Naombeni njia jamani nifanyeje

Jarbu kuchangamana sna na marafki zako ili uachane na hali ya kumkumbuka,, pia na ww tafuta wako wakukupumzisha

kutwa nzima nitajichanganya sawa,lakini nitakapo ingia kulala mpaka usingizi uje nimesha mkumbuka mara mia. hajanitoka moyoni kabisa na wala haingi mwingine.
 
sasa kama binti mwenyewe matatizo matupu we wampenda tu? au wapenda matatizo? vitu vingine ndio unaepuka.
 
ukweli wa MUNGU pale aliponiacha ni palepale nina staajabia na hata picha sipati.tulipitia mengi ndugu yangu sijui hata nikuambieje,nakumbuka alipofiwa na mama yake jinsi livyohangaika na kauli alioniambia mimi ndio baba na mama yake, ilinifanya nimchukulie bila yeye mimi sio. halafu tumeachana eti! aah wapi sijakubali bado.

Aisee inaonesha unampenda sana.... that is good.... ila bado yeye ni mtu hivyo ana hulka tofauti na wewe hamwez kufanana katika kila kitu.... Ndo mana nimekuambia yeye hajui upendo unapimwa na nin..... ni UVUMILIVU tu ndo upendo hukaa... yeye kashindwa na sio kwamba amesahau ya nyuma ... hapana anakumbuka sana ila kwake haoni mashiko katika kutafuta furaha ya moyo wake... Umejitahidi sana mpaka hapo kuonyesha yeye ndie ubavu wako lakini ni bora kuacha uendelee na maisha maana stress ujanani zinatesa... likomkuta la kumkuta lazima aje na ni lazima limkute na atakukumbuka na atarudi we mpe muda tu... Malipo ni duniani...
 
ndg mabint wa cku hz hawaeleweki pole sana kaka wanapendwa kudanganywa na vitu vdogo sana pia influence ya marafki ikiwemo badae huja kujuta yanayowakta na ktaman kurudiana lakn huogopa
 
huyo hafai kabisa kurudia akiachika huko alipo atakirudia akipata mwingine atakuacha tena kama unaendaga kanisani muombe Mwenyezi Mungu akupe mke mwema huyo si mke mwema
 
wengi wanazaliwa,wengi wapo lakini si kila aonekanae ndio wangu,wengi ni wa watu japo na mimi ni mtu ila yule hajafanana na mtu yeyote kwa kweli.asante lakini.

Sasa kama mtu mwenyewe mbishi namna hii,unataka tukwambiaje?

Tuliishapenda kwelkweli na tukaachwa tena afadhali wewe na sabab unaijua.

Kama vip kamteke umfungie ndan.
 
Back
Top Bottom