Recent content by Bizzoo1

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Ukiingia na bilioni kwenye madini 90% utaishiwa tu sasa rudi kongo kajipange ila oongea na bank wasimamishe riba.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Matajiri wa siku hizi hawawezi kuishi na watu wengi majumbani mwao kuliko wale wa enzi za zamani?

    Leo familia yake itakuwa inakufa masikin na walio saidiwa hawarudishi fadhila kwa hiyo familia.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Treni ya umeme naona imeanza kazi

    Waliyoyaleta wanajua kama ni ya umeme au siyo.Mi naona tungeanza kwanza na umeme wa uhakika badae mabehewa yafuate.
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tamaa zetu wanaume wakati mwingine zinatuponza hivihivi

    Zaeni mkaijaze dunia .
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Oya Mwanenu mapenzi yanataka Kunitoa Roho

    Mku unalipwa 2m unatishwa na pis inayojiuza .Pale dukani ni mawindoni huyo ni njaa kali sanuka.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je, Mafanikio yana Formula? Kufanikiwa ni mbinu au bahati?

    Maandalizi+ Fursa + Bahat= Mafanikio
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mika Mwamba alitendea haki beat kwenye hizi nyimbo

    Wameacha kumbukumbu .
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna biashara inafilisi kama uchimbaji wa madini

    Mku badili mbinu kuozesha rudio unatakiwa usiwe na mtaji wa mawazo bora ukusanye uwauzie wenye nguvu .
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, mtu huyu nimfungulie kesi ya aina gani?

    Kosa la kwanza wanakaaje kikao wagawane majukumu ya kuangalia mali wakat wewe ndio muhusika mkuu? Inawezekana wanahis wewe umedandia mali za dada yao
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

    Mmesha kuwa mwili mmoja hakuna usiri
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

    Mku malizia tu ,Fanya kama umemsaidia
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuweka mashine ya kutolea pesa jirani na baa ni kusabaishia matatizo watu

    Wahudumu nao hawakawi kufanya yao
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kuweka mashine ya kutolea pesa jirani na baa ni kusabaishia matatizo watu

    Hapo lazima useme itakuwa nimesachiwa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Sikuruhusiwa kukagua Daftari la Maslahi na Rasilimali la Paul Makonda

    Mzigo ni wake itakuwa alimtumia mwenzake kwenye kuuset sasa akasahau kubadili umiliki akiwa kwenye madaraka sasa mwenzake anataka kumzima.
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

    Shukuru mungu ujapasua kuni na kutumwa tumwa mixer kuchoteshwa maji.
Back
Top Bottom