Recent content by bitubaraka

  1. bitubaraka

    Nimjibu vipi anielewe?

    Elimu? Yako yakukariri haijakusaidia lolote! !!! Unge elimika usinge uliza swali kama hilo
  2. bitubaraka

    Nimjibu vipi anielewe?

    Mhghh! Hivi kwani chuo kuna Mapenzi?
  3. bitubaraka

    Jaribio la kijeshi kumuondoa Rais wa Burundi madarakani

    Kwa matangazo ya Mchana huu toka vyombo mbalimbali vya Habari kuwa Pierre nkulunzinza amepinduliwa na kiongozi wa jeshi imeanza kunipa mwanga kidogo, Naanza kumuelewa jk na viongozi wenzake wa east Africa Asante sana jk
  4. bitubaraka

    Notisi ya kuanzisha Mikoa na Wilaya

    Ni ujinga sana kutawaliwa na masikini mpumbavu /wapumbavu shenzi sana serikali ya maSikini! Ubaya wa maSikini hata akili yake inakuwa ya kimasikini Yaani anajiwazia yy tu na kwa wakati ule aliopo wala si wenzake na kesho yake
  5. bitubaraka

    Mpango wa wabunge kufisadi nchi kupitia posho na kiinua mgongo huu hapa

    Hizi Habari za ukawa sijui ccm ndo zinatufanya hatuendelei hapa tunaongelea utanzania na yanawakumba watanzania cyo chama flani, wacheni Mambo yenu
  6. bitubaraka

    STRABAG: Kampuni ya kimataifa iliyofanya makosa ya ajabu

    Mkuu pale strabag Tanzania branch kuna uswahili mwingi sana, strabag ni kampuni nzuri sana ila tatizo pat kuna utz (wapenda kula bila kufanya kazi)!am sure for it coz nimefanya kazi miaka miwili pale strabag
  7. bitubaraka

    Leo ndio siku ya kwanza kusalitiwa na nimpendae

    Aghhh! Umenistua nililala sitar tena kumsaidia mtu anaeitwa mpenzi ama mchumba nisije toa uhai wa mtu bureeeeee ctaki
  8. bitubaraka

    Malaigwanan wazidi kumbana Lowassa

    Duh! Siasa sihasa
  9. bitubaraka

    Natafuta mke mweusi

    Ngoja nifanye mipango, ww wapatikana wapi mkuu
  10. bitubaraka

    Natafuta mke mweusi

    Nenda gamboshi mkuu utapata
  11. bitubaraka

    Ninapitia wakati mgumu sana, msichana anataka kuvunja familia yangu

    Sasa kwann umsaliti Mke wako your so foolish man tubadilike wanaume
  12. bitubaraka

    Habari za za Simba kupewa nafasi badala ya Mbeya City

    Soka la east Africa ni pasua kichwa Yaani kila kitu siasa na usishangae hao simba na yanga wakakutana finally
  13. bitubaraka

    Mzungu ana akili zaidi kuliko viumbe wote duniani, Wasouth wamethibitisha hili

    Mkuu kama umegusa ukweli flani hivi maana ukiangalia kwenye vitabu vya dini mwafrika kama amelaaniwa flani hivi sijui ni kweli ama ni mbinu za mzungu kutushika akili maana hata dini ametuletea yy cc tuna pokea tu
  14. bitubaraka

    Kweli watanzania hatuna ufuatiliaji

    Tz kuna kitu knaitwa roho ya kurudi nyuma huwa Mambo hayafiki mwisho linazaliwa lingine (Yaani funika kombe mwanaharamu apite)
Back
Top Bottom