Recent content by bitter-sweet

  1. B

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Ninasikia alievaa ya njano anaitwa Lilian na siyo Juliana,na yupo hai
  2. B

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Mimi niko Huku Namanga,lilian ambaye ni video queen hajafa, aliyekufa ni Juliana
  3. B

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Aliyekufa alivaa nguo gani kne Huo wimbo?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika amlinda Waziri Mkuu dhidi ya swali la Mbowe kuhusu rushwa kwa wabunge wa CCM

    Jamani Mie ni Kama siwaelewi huyu ns, Mbona sugu kalirudia Hili Swala la MIL. 10 Lakini naibu spika akauchuna tena???? Anavyopenda Ubishi Si angemwambia sugu athibitishe?? Mbona kama kuna ukweli hapa??? Hivi NS ni wa kuliacha hili Swala lipite hivi hivi???kweli????naona Kama alihisi akimwambia...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika amlinda Waziri Mkuu dhidi ya swali la Mbowe kuhusu rushwa kwa wabunge wa CCM

    Mh. Sugu kakazia Swala la milioni 10,hatari sana
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba aanzisha lebo yake, Abby Skills na Jokate wapata shavu

    kama ni kweli, hakuna msanii hata mmoja Hapo,, Hawezi Akawa serious
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiambia anatongozwa sana, nifanyeje?

    Kweliii
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake kama ndio mnadanganyana hivi kututeka wanaume mwenzenu nimeng'oa meno

    Hahaaaaaa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mbunge Lema ashtakiwa kwa kumtumia ujumbe Mkuu wa Mkoa wenye neno 'Shoga'

    Vipi kama basata wakisema kuwa shoga ni mtu wa Karibu,??? Atashindwaje???
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mbunge Lema ashtakiwa kwa kumtumia ujumbe Mkuu wa Mkoa wenye neno 'Shoga'

    Hii kesi naona kama mrisho atashindwa mchana kweupe Kama kukiwa na mawakili wazuri, nimemsikiliza mtu kutoka basata Leo kupitia TBC I think Akawa anafafanua maana ya neno shoga,,akasema linaweza kutumika kwa watu wa jinsia zote,japo Inamaanisha ukaribu Fulani,sio kwa jinsia ya kike tuu,, mnaweza...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Magari ya Jeshi la Kenya ukielekea Bukoba kutoa msaada kwa wahanga wa tetemeko

    Nafikiri Mimi nimemuelewa tofauti, ni Kama amerusha dongo flani
Back
Top Bottom