Kwanini Pasco wa JF anaficha sababu alizoambiwa 2014 kuwa zitampeleka Magufuli Ikulu?

Stori hazina kichwa wala miguu.. Alijiandaa Mwenyewe kumbuka halivyowakana kina Sitta, mpendazoe, na Mwakyembe walivyotaka kumuweka katika kundi lao...

Ukitaka kujua alijiandaa Mwenyewe tafuta Hotuba ya bajeti ya wizara ya ujenz 2015/16 pale mbunge wa Longido alipotaka kushika shilingi na JPM akamjibu asifanye hivyo ukizingatia wote wana miaka Ishirini bungeni, alafu JPM akadokeza kuwa na huu Mwaka ni muhimu sababu Kuna jambo kwake, hivyo ataharibu
 
Stori hazina kichwa wala miguu.. Alijiandaa Mwenyewe kumbuka halivyowakana kina Sitta, mpendazoe, na Mwakyembe walivyotaka kumuweka katika kundi lao...

Ukitaka kujua alijiandaa Mwenyewe tafuta Hotuba ya bajeti ya wizara ya ujenz 2015/16 pale mbunge wa Longido alipotaka kushika shilingi na JPM akamjibu asifanye hivyo ukizingatia wote wana miaka Ishirini bungeni, alafu JPM akadokeza kuwa na huu Mwaka ni muhimu sababu Kuna jambo kwake, hivyo ataharibu
Weka clip kabisa
 
Nadhani kati ya waliochukua fomu na kama kuandaliwa basi ni katika utaratibu ule ule wa kimtandao sasa kukawa kuna watu walijiaminisha zaidi lakini wakajikuta wamepigwa overtake na wasio wategemea hata mwalimu alicheza karata kama hiyo na akafanikiwa kumweka mkapa 1995 lakini si kama aliandaliwa na chama
Yaweza kuwa kweli
 
Kwa mbali naungana na Sababu namba 5. Ukweli ninaoujua ni kwamba waliomuandaa Magufuli kuwa mgombea wa CCM 2015 ni Mzee Mkapa, Cardinal Pengo (Catholic Church).

Mkakati huo ulimhusisha kwa ukaribu DG mstaafu wa TISS Rashid Othman aliyepewa jukumu la kuhakikisha Lowassa (adui wa JK) na Membe (kipenzi cha familia ya JK) wakisuguana to the maximum.

Huu ugomvi wa EL na BM ulikuwa wa kimkakati zaidi maana JPM alipoitwa pale Mbweni na Mkapa na Othman aliambiwa, "kazi yako ni moja tu, uwe mnyenyekevu to the maximum kwa JK " maana alishaanza kuwa lame duck president. Msuguano huu ulikuwa na maana 2

(1) ni kumficha Magufuli asionekane katika vyombo vya habari ili madudu yake yasijadiliwe. Ndio maana tunaweza kuona ufisadi wa Magufuli umekuja kujadiliwa akiwa tayari ni mgombea. Wengi walibaki kujadili Richmond na Mapesa ya Ghaddafi.

(2). Ikijulikana kuwa iwavyovyote JK atamkata tu ENL mwanzo kabisa. Kukatwa kwa Lowassa na Membe kuingia 5 bora ilikuwa ni hatua moja mbele ya mafanikio kwa Mkapa, Pengo na Rashid ambaye hakumkubali JK.

Kwa kuwa ilikuwa wazi miamba iliyokuwa ikichuana ni BM na EL na mmoja keshakatwa ilikuwa rahisi kwa Mkapa kumshauri JK, "chama kitakufia mkononi ukimkata Lowassa usimbakishe Membe, naye mtoe tubaki na chama" huku team Lowassa ikielekeza nguvu yake kwa Amina Salum Ali kumkomoa JK.

JK alipoomba ushauri kwa TISS (DG) afanye nini akajikuta anapeleka kesi ya ngedere kwa nyani. Huko nako akajibiwa hivyo hivyo. Kwa maneno yake DG alimwambia, "bosi fumba macho, mng'ate jongoo kwa meno, mwondoe Membe kama unataka ccm ibaki salama." Kwa mpango huu na kwa uchungu mkubwa JK akamtosa BM mgombea Urais aliyetegemewa na Marekani na nchi za Magharibi.

Tukumbuke JK alishamtambulisha BM duniani kuanzia kwa Obama na Puttin kuwa ndiye mrithi wake. Tutakumbuka ujio wa Puttin nchini ulivyoyeyuka baada ya BM kukosa Urais. Ndiomaana msishangae JPM kukwepa safari za nje hasa Marekani, hana mwenyeji.

Kwa staili hii Magufuli akajikuta amebaki mwanaume pekee katika 3 bora katika jamii ambayo haijawa tayari kuongozwa na mwanamke. Hivyo ni rahisi kusema Magufuli aliandaliwa na watu kuwa Rais lkn binafsi hakujiandaa hata kisaikolojia kuwa Mkuu wa nchi.

Sababu za Mkapa na Pengo kumuandaa Magufuli ni hali ya nchi ilipofikia mambo kwenda hovyo, ufisadi na rushwa kila mahali na kwamba angetakiwa mtu arrogant anyoshe mambo Walau hata kwa awamu moja tu. Hivyo JPM hata akikosa Urais 2020 atafurahi tu, hana cha kupoteza.
Wewe Jamaa ni Muongo aisee. JK asimshirikishe D.G wa TISS kuhusu mrithi wake!? Nchi haiendeshwi hivyo, suala la Urais ni matter of national security. Kawadanganye watu wa kijiweni kwako. Mbavu kabisa Jakasaye
 
Mi ninachokumbuka mwaka jana nilikua pale Ikulu na mzee JK akaja anko Magu kuleta madeni yake ya wakandarasi na mambo mengine Mzee JK akamuuliza? "umechukua fomu" akimaanisha ya kugombea urais anko akajibu kwa kumuuliza" kwani na mimi ninatosha mzee?" JK akamwambia "mimi sijui ila wana CCM ndio wataamua kama unatosha au hutoshi". Hiki ndicho ninachojua mimi hayo mengine sijui yalitokea wapi.
 
Tatizo Hujui nimezianzia wap Dr

watt wa UDSM wamekuvuluga nin..??

Ok Poa njoo upate Moja Barid Moja Moto wik end imeanza hii..!!

Vp umesha maliza awamu ya kwanza nimwambie waiter akuongeze

kunywa Bili ntalipa wasiwasi wa nin wee

waiter Zungusha tena

Hawa watoto wa dar wanavuruga sana
 
Jakasaye umejaribu kuelezea vizuri lakini Mwenyekiti wa Chama amehusika sana kwa uwepo wa JPM.
Mkakati ulishaandaliwa kuwa team EL wana nguvu ndani ya chama hvyo akaandaliwa BM kuwa 'fake competitor' wa team EL ili kuzifanya team hizi ziwe busy kuchuana na kuchafuana wakati nyuma ya pazia 'mwali' aliyesukwa kimya kimya akizidi kuchanja mbuga.
Ndio maana mpaka leo Prof Mwandosya analalamika kuwa Mwenyekiti aliingia na majina yake matano mfukoni kupigiwa kura na wajumbe, na hapo yapaswa kujiuliza kwanini hao candidates watano ndio walionekana kufaa?? why not others!!?.. . Na kama swala lilikuwa kumuweka BM awe mgombea pekee kwanini aliingia tano bora na Magufuli ilihali Magu anakubalika zaidi ktk utendaji kazi?? Kwann BM asingewekwa with other candidates ambao hawatampa ushindani ndani ya tano bora? Ukiweza kung'amua hayo maswali basi utabaini kuwa picha inaonesha dhahiri
Kifupi tu uwepo wa JPM ni mpango mkakati uliosukwa na Mwenyekiti.

U cant ignore the power of JK ktk maamuzi ya juu ndani ya chama.
JK is the master of local and international politics..!!!

Huyu jamaa ni Mzushi kweli, eti anataka kutudanganya JK hakumuandaa JPM, mara eti aliyekuwa D.G alikuwa akifanya mipango na Mkapa, huku JK ushauri kaomba kwa RO baada ya 5 bora!?:eek: wewe jamaa kawadanganye huko huko.
 
Dr. Rweyende, ili kupata majibu ya hayo maswali, itabidi kuangalia vitu viwili: aina wa siasa za Tanzania na mgombea mwenyewe (Magufuli). Siasa za nchi hii haziko katika misingi ya kiitikadi (yaani sera zinazolenga maslahi ya matabaka mbalimbali katika jamii) bali ulaji. Chama kilichoko madarakani kimeweka mfumo wa ufisadi wa kitaasisi ambao unalindwa na katiba na sheria zilizopo. Mikataba mibovu na wizi wa kutisha (Escrow, EPA, Meremeta, CIS, Radar, Lugumi, nk) ni matokeo tu ya siasa za ulaji na ndipo maslahi ya "wenye CCM" yalipo, na ambayo watataka siku zote yalindwe. Kwa vile Magufuli alikuwa hana 'political base' ndani ya CCM; na hana mrengo wa kiitikadi au wa kiuchumi anaouamini; wala sio mwanamikakati; na weledi wake wa mambo ya kijamii na kiuchumi ni mdogo; akafuzu kama the most likely candidate to maintain the status quo. Kitu kinachoogopwa ni mabadiliko ya kimfumo kupitia katiba mpya itakayohakikisha uhuru wa kweli na haki za kiuchumi na kijamii kwa raia pamoja na mifumo thabiti ya kidemokrasia.
 
Mi ninachokumbuka mwaka jana nilikua pale Ikulu na mzee JK akaja anko Magu kuleta madeni yake ya wakandarasi na mambo mengine Mzee JK akamuuliza? "umechukua fomu" akimaanisha ya kugombea urais anko akajibu kwa kumuuliza" kwani na mimi ninatosha mzee?" JK akamwambia "mimi sijui ila wana CCM ndio wataamua kama unatosha au hutoshi". Hiki ndicho ninachojua mimi hayo mengine sijui yalitokea wapi.

vijiwe vya gahawa daslam ni mitambo ya kuzalishia riwaya na tamthilia za kila aina, sasa wasiokua makini hawakawii kumeza nzima nzima bila kuchuja wakiaminishwa walichokisikia ndio ukweli sahihi....
 
Rais Magufuli bado ana kazi ya ziada tuition ya kujua formation ya vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi hii. Lkn nadhani DG mpya wa suti nyeusi amempata mzuri atamsaidia. Inabidi aishi kama bundi, mchana kazi za umma usiku darasani. Taratibu atajua hata umuhimu wa kuwa na namba za simu za wakuu wa nchi giant duniani kama USA, China, France, Rashia nk kupitia kwa mwambata wake. Ni bosi aambiwe kuwa ndiye Rais na si yeye ndio kila siku anasema, "mimi ndiye rais wa JMT hakuna mwingine," kwani ana hofu kuna mtu mwingine ni Rais pembeni? Ni nani huyo? JK, EL au nani? Tafakari.
hahaaaaaaaa
 
Magufuli ni rais mzuri sana, angewashirikisha watu wake kwenye maamuzi na kusikiliza ushauri atatufikisha sehemu salama zaidi kuliko yyt kati ya wale woteee.
 
Everybody here is acting like an insider.Fake IDs fake comments.The way people narrates their stories here may make one to think that our politics are so smart.That nothing happen unplanned.I dont think if we are in that level .
Myself i don believe at all that Magufuli was a plan.It was absolutely an accident.Even himself was just doing the normal political procedures when he decided to run for his part internal presidential election.It was less than 24 hours when Magufuli knew that he was supposed to present his part in General election.

And i will be surprised if one will try to convince me that magu was not puzzled on how everything went on so fast for him to be where he is now.
 
Back
Top Bottom