Recent content by Biso na Biso

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ndugu Lowassa Tafadhali, Mmependekeza Watanzania Wamekataa, na Wataishi na Uamuzi Huo

    Duh Mwanakijiji kweli unakomaa Mkuu ...na umejipiga upofu wa dhahiri kabisa kutokana namapenzi yako.. Hakika ule u nguli wako unapotea sasa sio kwa sababu kwa sasa umevaa kijani? La hasha ni kwa sbb unaonekana kabisa kulalia upande mmoja hata kwa sbb zisizo na msingi kana kwamba ulikuwa na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kitoto iliyotegemewa na UKAWA!

    U have dissappointed me.... Mimi nilikuwa nakuchukulia kama msomi...Unajua hata ukiwa mwanachama wa chama fulani tunategemea bado usomi wako utake precedence katika masuala muhimu yakitaifa. sasa wewe unakiri ni muumini wa slaa....so kwenye uchaguzi hukuwa na dira wala hukuwa na alternative so...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kitoto iliyotegemewa na UKAWA!

    Meningitis Hujitambui Na wala hukuwahi kuelwa falsafa ya movement ya uchaguzi huu.... Lala salama Bongo lala.....Mwanzoni nilifikir uko na akili ila siku zinavyoendelea unaniongezea wasiwasi Enjoy
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya mbao

    Ndugu Mdau Habari yako. Kwa muda nimekuwa nikifikiria uwezekano wa mimi kujiingiza katika biashara ya mbao (haswa kutoka Iringa) Nilichoambulia ni kwamba biashara hii ya mbao. 1.huweza kufanyika either kwa kununua mbao toka wakulima moja kwa moja 2.kununua shamba na wewe mwenyewe kupasua mbao...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

    Mkuu inamaana wale wore wana mabusha :A S-confused1::A S-confused1: Sasa Hivi hawa Wanatofauti na wale wa enzi za mwalimu?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

    Mara Nyingi Professor JK amekuwa akinilazimisha kufikiri sana pale anapoamua kutumia hadhira inayoitwa WAZEE WA DAR ES SALAAM. Tija gani huyu Professor huipata kwa kutumia hadhira ya namna hii? Mbona Wazee wangu mtaani hawakualikwa kuna Vigezo gani ambavyo wamekosa, Je anachokifanya kwa...
Back
Top Bottom