Recent content by bishy74

  1. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge wa Geita Mjini, Donald Max afariki Dunia

    Mungu alitoa na ametwaa jina lake lihimidiwe
  2. B

    JamiiForums Tanzania Karoti, maji, "majani", dawa kiboko ya macho

    nimeanza leo tiba nashukuru sana kwa tiba hii
  3. B

    JamiiForums Tanzania Polisi & CCM na hila za ugaidi CHADEMA: Wakamata house boys na girl wa Lwakatare usiku...

    duuu! ama kweli. Tanzania eee Tanzania aaa
  4. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Yule mtoto aliyewekwa kwenye BOX MIAKA MINNE afariki dunia! ...so sad

    ukweli ni kwamba inauma sana malaika kama yeye kupitiashida zote tena kwa ndugu wa damu na mama yako! wengi wanasema mama wa kambo ndio katili kumbe kn viumbe wengine ni katili sana. mungu amlaze pema peponi Nasra
  5. B

    JamiiForums Tanzania Farkina nipikie makange tafadhari

    makange nyama yoyote uipendayo. limao ,kitunguu ,chumvi ,hoho ,karoti ,nyanya 2 ,soya sosi ,honga ,tangawizi ,kitunguu thaumu ,mafuta ya kupikia . ,safisha nyama vizuri ,tia limao, chumvi kadogo,tangawazi,na kitunguu thaumu. acha kwa dk 10- 15 .weka mafuta jikoni, yakishapata moto tosa nyama...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Bei ya mabati

    nataka kujua bei ya mabomba ya mm3 kwa mita 6 na wapi yanapatikana kwa urahisi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    Nitumie namba ya dr chipata wa temeke hospital
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    [QUOTE=Upendomia; je niweza kupata dawa ya cisty na faibroid na je kunauwezekano wa kushika ujauzito?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

    Nimepimwa nimea mbiwa nina cist na faibroid je unaweza kunisaidia kupona na kuweza kushika mimba? Niko mwanza
Back
Top Bottom