TANZIA: Mbunge wa Geita Mjini, Donald Max afariki Dunia

Kwann wamzike mbali ma jimbo lake...kwani wananchi wa geita hawatakiwi kumzika au ndo zile ngonjera za mbunge wa dar lakini anawakilisha geita
 
Mkuu uko sahihi sana. Mie nilikuwa simfahamu. Siku moja alinikuta Villa Park Bar nimekaa counter. Akanijoin na kuniagizia kinywaji. Tukawa tunapiga michapo tu kama mtu wa kawaida na alikuwa amezoeana na Barman . Nikamwagizia naye kinywaji akachukua. Baadaye akatoa ofa kwa watu wengine, na ndo katika mazungumzo akajitambulisha ! Alikuwa huwezi mtofautisha na general public na alikuwa anaongea kwa uchungu sana kuhusu ufisadi. R.I.P brother!!!

Katangulia.. . . . alikuwa mpenda nchi yake sana yeyote aliyewahi kukutana naye na kuzungumza atakuambia hilo
 
Polen masela wa ambassidor na wale mabaunsa waliokuwa wakoingia nae club,polen wafanyakazi wa vyoo vya public pale geita maana n mradi aliowaachia wanageita,

polen wafanyakazi wa copcot maana alikuwa mkurugenzi wenu, pole za dhati zimfikie david kizito shemeji yake aliempeleka urusi kujifunza umakenika,ingawaje kwenye cv alionyesha ni mbobevu,pole ziwaendee wale wote waliosoma shule za kalangalala, mbugani, geita kwa msaada wa geti uliotoka kwa bwana max, pole zingine ziende hosp ya wilaya maana kuna wakati alikuwa akitoa chakula bure, pia pole kwa mkewe na mtoto mmoja,

mwisho kabisa pole kwa vijana, wauza kahawa hasa kijiwe cha Mzee shughuli kwani walinufaika sana na uwepo wake bungeni had I kugikia kupewa TV ya barazani,mwisho kale kabustan kanakoonekana geita ni mpango WA bwana Max karibu na jengo la ccm wilaya,R.I.P brother we shall miss u much

Fensi ya geseco pamoja garden ni kaz yake
 
ladies and gentlemen

we a Mourning the death of Geita MP Donald
Max. He is 8th to depart. Others are
Mwaiposa, Komba, Sumari, Mtema, Khamis,
Mgimwa & Bwanamdogo.

May his soul rest in peace! !!


Nimekipenda Kiingereza chako!
 
Ndo Kule kamatwa alipopeleka baiskeli?
Ni huko huko. Waswahili wansema ni uchuro lakini vile vile wanasema Kufa kufaana! Sikumbuki vizuri hivi ndiye huyo ndoa iliota mbawa dakika za mwisho watu wakiwa wameshachanga mil 100?
 
Ni huko huko. Waswahili wansema ni uchuro lakini vile vile wanasema Kufa kufaana! Sikumbuki vizuri hivi ndiye huyo ndoa iliota mbawa dakika za mwisho watu wakiwa wameshachanga mil 100?

Mmnh ngoja tusubiri tutayaona mengi zaidi mpaka October
 
Back
Top Bottom