Polisi & CCM na hila za ugaidi CHADEMA: Wakamata house boys na girl wa Lwakatare usiku...

Sijawahi ona juha kama wewe,katika nchi za usa,japan,ufaransa,na ulaya kwa ujumla,kiongozi yeyote haruhusiwi kuhusishwa na malaya kwa namna yeyote,na akijulikana katiba zinasema ni kosa la jinai!
Ccm mmeshindwa kubadili sheria ya ndoa ili mnufaike nayo,kutongoza,kushawishi hapa ni kwa simu au kwa namna yeyote unaachia ngazi hayo ndio maadili yao.
Sisi Taifa huru linaruhusu watawala kujirusha na vimwana?, mmeua maadili ndio maana yanafanyika haya.
Rais Bill Clinton alipigiwa kura ya kutokuwa na imani kwa kutembea na katibu muhtasi wake,leo wewe unasema komba hakuvunja sheria!, kwa umalaya?
Ndio maana madanguro chini ya ccm hayafutwi!,maana ni nyumba za wabunge wenu!!
Ndio maana wanafunzi wanapata mimba mashuleni,mnasema viherere vyao!, ndio maana wabunge wa kuteuluwa wengi wa ccm vimwana!
Tumechoka tunahitaji katiba mpya itakayosema maadili ya kiongozi akiwa na hawara,au amemzalisha mwanamke yeyote,asiruhusiwe kuwa mgombea,awe mtoa kodi kwa biashara halali si danganya toto chadema leteni Azimio la maadili kabla ya 2015,

Tuliza Mzuka afande, Hebu tafuta kale ka thread cha machemuli uondoe stress...
 
akiachiwa mtamwuliza kama kafanyiwa uovu wowote, na kama kafanyiwa, police kumshtaki police mwenzie inawezekana. hivyo mtashtaki na pengine hata madai mkiweza.

police inajua vema suala la lwakatare, haiwezekani bila sababu ya msingi wakamate. lzm kuna kitu

Naona ww ni walewale wa siasa, swali langu liko wazi labda kama akili yako ina shida, Ni kinyume cha taratibu askari wa kiume kumkamata ama ku search mwanamke, Mwanamke anapaswa kukaguliwa ama kukamatwa na askari wa jinsia yake ili utu wa binadamu uendelee kulindwa na kuheshimiwa, Imagine ni mama yako amekamatwa yuko mikononi mwa askari mwanaume, akipatwa haja anaemlinda kwenda kunako kutoa haja ni huyu mwanaume, utu wake haujaheshimika wala kutunzwa na pengine hata akashindwa kupata haja sababu ya mazingira kama hayo.
 
Sasa Slaa watoti wadogo kama nasari wanaoa.

Japo wanachukua majiko mabovu sasa sijui yeye kipi kinamfanya aendelee kuzini hadi leo maskini yule mzee.

Kwa maandishi haya nina imani na wewe ni mmojawapo unaesababisha Mtwara iendelee kuwa nyuma kwa maendeleo.
 
akiachiwa mtamwuliza kama kafanyiwa uovu wowote, na kama kafanyiwa, police kumshtaki police mwenzie inawezekana. hivyo mtashtaki na pengine hata madai mkiweza.

police inajua vema suala la lwakatare, haiwezekani bila sababu ya msingi wakamate. lzm kuna kitu

mm nina udugu gani nae mpaka nimwulize, afu polis kumshtak polis mwenzie???????
 
Siishi kwa hisia ndugu yangu, kwanini akamatwe? Lazima kuna sababu, tusiwatete wahalifu kuna watu wamepoteza maisha, haki lazima itendeke.

ACHA UPUMBAVU wewe umejuaje kwamba hawa waliokamatwa ni wahalifu? tena inabidi na wewe ukamatwe inawezekana mlikuwa wote kwenye huo uhalifu
 
mpango wa polis ni kuwatisha hao vijana , kuwapiga na kuwarubuni mambo mazuri ili wamtaje Rwakatare kwa mambo ya uongo na bila shaka kuwahusisha viongozi wakuu wa CHADEMA kuwa huwa wanafabyia vikao hapo nyumbani vya ugaidi. Ninyi subiri majibu mlengwa hapa ni Rwakatare na viongozi wa CHADEMA& UKAWA.
 
Tatizo si weledi wala utashi,majeshi ni cohhesive apparatus ambayo wakati mwingine hufanya maamuzi magumu kuhakikisha wanailinda amani na usalama uliopo.Let us not judge kana kwamba tayari tumekwisha jua ukweli uko wapi!!Kesho patakucha na kila kitu kitakuwa wazi!!Patient,calm down amigos!!

Acha uzushi hao PoLiccM mwanzoni walipomkamata Lwakatare kwa amri ya Gaidi namba moja Mwigulu Nchemba walimkuta ana nini?
Usijitowe akili na kufikili kama PoLiccM ...!!!
 
ACHA UPUMBAVU wewe umejuaje ####kwamba hawa waliokamatwa ni wahalifu? tena inabidi na wewe ukamatwe inawezekana mlikuwa wote kwenye huo uhalifu

wewe ndiyo huna akiri kabisa! Ulishaona polisi wanamkamata kwa Kuwa kaenda kanisani? Polisi kazi yao ni kukamata waharifu, kwanini wasikamate yoyote wawakamate wao tu??. Next time usitete upuuzi, idiot.
 
Taarifa ya awali...

Katika hali ile ile ya mwendelezo wa kutumikia maelekezo na maslahi ya CCM dhidi ya wapinzani wa kisiasa wa chama hicho, Jeshi la Polisi usiku huu limevamia nyumbani kwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare na kumkamata housegirl wake.

Kama hiyo haitoshi, jeshi hilo la polisi limewakamata wafanyakazi wengine wawili (house boys) wa Lwakatare. Hadi muda mfupi uliopita vijana hao wawili, walikuwa wako Kituo cha Polisi Mbezi huku msichana wa kazi wakizunguka naye kwenye gari la patrol bila kumfikisha kituoni.

Jeshi hilo la polisi kupitia kituo hicho cha Mbezi lilikuwa linawatisha kila mtu anayekwenda hapo kituoni kuulizia sababu za vijana hao kukamatwa, lakini hatimaye mmoja wa watu walioko kituoni hapo ametonya kuwa polisi wanasema mmoja wa vijana hao kesi yake iko Arusha!

Kijana anayetaka kubambikiwa kesi huko Arusha ni mwanagenzi kabisa mjini. Hata ukimwambia aende Chalinze au Wami hawezi kupajua.

Hatimaye mbinu za CCM kupitia jeshi la polisi ya kutaka kukichafua CHADEMA au viongozi wake kwa kutumia kes za kubambikia ugaidi imerejea tena...

Tutawaletea taarifa kamili...
Alah shall answer one day the tears of under privileged,this won't last forever,god is watching...
 
wewe ndiyo huna akiri kabisa! Ulishaona polisi wanamkamata kwa Kuwa kaenda kanisani? Polisi kazi yao ni kukamata waharifu, kwanini wasikamate yoyote wawakamate wao tu??. Next time usitete upuuzi, idiot.

Ila tumeshuhudia wakikamata wanaoenda misikitini! why?
 
Back
Top Bottom