Recent content by Bishausi

  1. B

    Jenerali: Magufuli aliiba uchaguzi kisha akaugawa

    Nakusamehe bure. Humfahamu Jenerali. Kweli kunguru hachezi na njiwa. Jenerali ni njiwa. Hutomfahamu. Yatosha kufahamu kunguru wenzio!
  2. B

    Jenerali: Magufuli aliiba uchaguzi kisha akaugawa

    Tulia unapoandika. Achana na ujinga wa kweli ni mwizi kidogo!
  3. B

    Jenerali: Magufuli aliiba uchaguzi kisha akaugawa

    Ewe nzi, usitusababishie ban mwanahrm. Kama matusi tunayajua kuzidi wewe. Usituchokoze. Huna haki hata kidogo kumtukana Jenerali. Mpinge kwa hoja acha kabisa viroja!
  4. B

    Nyaraka inayothibitisha kwa Mangi Marealle alimuunga mkono Julius Nyerere UN hii hapa. Uongo kwamba Marealle alipinga uhuru ni kwa maslahi ya nani?

    Kama vile anaanza kuelewa. Huenda akapona. Matatizo ya kisomo cha kuungaunga. Aliyesema kuanzisha somo la uraia! Waandishi wapi? Wa udaku, sawa. Tunataka waandishi wasomi waliobobea. Wajuzi wa kutafiti. Sio porojo za kutafutia uteuzi!
  5. B

    Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

    Ningekuwa Tulia Slender ningechukua jeneza. Kwangu ingekuwa ni haki. Mayalla ni maiti. Slender hakuwa sahihi. Sugu ni mzima. Wala Sugu si baba yao watoto wa Ruvuma. Walimzika baba yao akiwa hai! Mayalla ni maiti. Afadhali angekuwa marehemu. Mwili wake ungezikwa, tukasahau. Maiti inayotembea...
  6. B

    Natafuta kazi, nimesomea Ualimu

    Kazi yoyote si lolote. A man of all trades has no trade at all! Ulisomea ualimu na computer operations. Fanya kazi kulingana na taaluma yako. Wanaohubiri kuwa wahitimu wasichague kazi watoto wao wanasubiriwa na ajira wakiwa bado vyuoni! Kimasomo wako hovyo lakini uhakika wanao. Wale wazuri...
  7. B

    Chalamila: Nilikuwa likizo kama Injini ya gari lililoharibika

    SAFI sana. Wapumbavu wananyukana wao kwa wao. Kujua kusoma ni jambo moja. Kuelewa ni biashara nyingine. Mpuuzi mwenzio hajakuelewa. Kama sio wapumbavu mtaelewa: You can't live crooked and think straight as you can't live straight and think crooked! Mti twaujua kwa matunda yake. Huyo bwana ni...
  8. B

    Mmeshimiwa Rais iangalie upya wizara ya fedha kabla jahazi halijazama kabisa

    Huyu bwana ni janga la taifa letu. Mawe yamepata shida. Kawa waziri wa mambo ya ndani. Kazalisha watu wasiojulikana. Maiti kwenye viroba kasema za wahamiaji haramu! Katika maigizo katumbuliwa. Zikatolewa sababu 13 za kumfumbia. Maigizo yakamrudisha kama waziri wa sheria na katiba. Zawadi ya...
  9. B

    Laana ya Usaliti ni Mbaya sana. Wote waliopewa vyeo baada ya Kusaliti CHADEMA Watapukutishwa kama vumbi

    Rubbish. Bahati yako.Ungeleta tena za kuleta, leo ningefungiwa. I was ready to hammer you summarily. Mwadabishe mpumbavu asije jiona smart. Rungu lilikuwa tayari nikuponde na kukusaga tikitiki. Sijitutumui. Hunifahamu. Acha kujikweza na kujiinua. Ilikuwa niongee nawe lugha ya matukano maana hiyo...
  10. B

    Laana ya Usaliti ni Mbaya sana. Wote waliopewa vyeo baada ya Kusaliti CHADEMA Watapukutishwa kama vumbi

    There's no fool like an old fool. Let alone an old bastard of your type. You're a shame. Arrogant imbecile and disgusting idiot. Why don't you keep quiet, when intellectuals are discussing national issues. You consider yourself a great thinker. Probably sycophant. You stoop very low indeed.
  11. B

    Lengai Ole Sabaya kuwa huru?

    Nisaidie, hii pua ni ya kimasai? Wamasai ni watu poa sana. Kama kuiba huiba ng'ombe tu. Hiyo ni jadi. Huamini kuwa ng'ombe wote duniani ni wao. Hapo hakuna mjadala. Pua ya Lengai inaleta mjadala!
  12. B

    Putin ajisahau na kukiri kwamba Urusi inapitia kipindi kigumu kwenye teknolojia

    Asiyejua maana haambiwi maana! JF imeingiliwa! No research, no right to speak. Mkumbushe kuna kitu kinaitwa G8! Mengine ni propaganda. Kuna siku Putin aliambiwa kuwa jumuia ya kimataifa itamtenga. Akauliza, je, nani anamuhitaji mwenzake. Russia inahitaji jumuia ya kimataifa au hiyo ndio...
  13. B

    Uteuzi wa IGP Camilius Wambura ni moja ya teuzi bora sana - heko kwa mamlaka za uteuzi

    Sijui kabisa. Hii ni kalamu ya Chacha Wangwe yupi? Anayemwagiwa sifa hizi kedekede ni Camilius Wambura yupi? Majina yanafanana au kuna kitu kisichokuwa kitu kufanywa kitu! Wangwe wa kesi kuntu? Wambura wa Hamza, gaidi wa kujitoa mhanga aliyejifunza ugaidi mitandaoni? Hao wawili wamekutana wapi...
  14. B

    Halima Mdee na wenzake 18 watatoboa Mahakamani kwa kutumia hoja hizi?

    Nilikosea kwa kudhani kuwa una akili nusu. Hata robo yenyewe huna!
Back
Top Bottom