The secretary nikusikie unsema tena maneno haya! Yaani mimi kukamatwa Pakistan ndo unione sifai? Kumbe mahaba niliyokupa,gari,wazazi wako niliwajengea,wadogo zako nikawapeleka ulaya kusoma,dada yako aliumwa nikampeleka India.....yaani hayo yote ni bure kisa Erickb52?
Halafu we nitonye wewe!